Saint Ivunga vipi?

asante ndugu yangu kwa kunikumbuka, mimi sasa hivi ni phd ndio maana nimepotea kaka

Wow! Got you back! Hapo pekundu unamaanisha wewe sasa hivi ni "Philosophiæ Doctor" (PhD)? Kama ni ndivyo nimegundua kumbe Mlitika ni jirani yako. Kabla sijakupongeza naomba niwasilishe ujumbe. Katika baraza la JF Chit-Chat jana lililohudhuriwa na @Erickb52, Mtalingolo, charminglady, Judgement, TANMO, Mlitika, Remmy, Mamndenyi, Kongosho, Bishanga, Madame B na wengineo wengi, @CUTE alileta mashitaka kuwa wewe @Saint Ivuga umemtorosha @MWALI na kutokomea naye na hadi sasa haijulikani aliko. Baraza linakutaka umrejeshe @MWALI mara moja kabla hatua za ki-JF hazijazingatiwa juu yako! (Sorry wakuu, sijui namna ya ku-"mention")
 
Wow! Got you back! Hapo pekundu unamaanisha wewe sasa hivi ni "Philosophiæ Doctor" (PhD)? Kama ni ndivyo nimegundua kumbe Mlitika ni jirani yako. Kabla sijakupongeza naomba niwasilishe ujumbe. Katika baraza la JF Chit-Chat jana lililohudhuriwa na Erickb52, Mtalingolo, Charminglady, Judgement, Tanmo, Mlitika, Remmy, Mamndenyi, Kongosho, Bishanga, Madame B na wengineo wengi, CUTE alileta mashitaka kuwa wewe Saint Ivuga umemtorosha MWALI na kutokomea naye na hadi sasa haijulikani aliko. Baraza linakutaka umrejeshe MWALI mara moja kabla hatua za ki-JF hazijazingatiwa juu yako! (Sorry wakuu, sijui namna ya ku-"mention")
weka @ then jina la mtu. so simple.. Mwali alitoroshwa na mkenya mmoja anayejiita Ambitious
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom