Nahisi mimi ndio member ambae anaongoza kupigwa block na watu wengi hapa jamiiforums

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,330
4,854
Na kama wangekuwa wanachukua tuzo naamin mwaka huu ningechukua tuzo ya mpigwa block na members wenzake, na huwa sijuagi nakosea wapi mpaka members kunipiga block, cha kushukuru sijawahi pigwa banned toka nijiunge jamiiforums ila ajabu wanachama wenzangu wa mtandao huu ndio wanaoongoza kunipiga block mpaka sasa nimepigwa block na members wapatao 96 vipi wakuu nakosea wapi?

Au mi ni genious vichwa panzi wanaona sio level zao mniambie pengine naweza kuhama dunia na kwenda kuanzisha ulimwengu wangu na kuchukua magenios wenzangu, mana kukaa meza moja na elon mask na kunisikiza na kutii nilichoongea si swala dogo ni akili kubwa kweri kweri
 
mana kukaa meza moja na elon mask na kunisikiza na kutii nilichoongea si swala dogo ni akili kubwa kweri kweri
 
Kumbe JF ni kubwa sana. Mkuu Pipa ndio nakuona sahivi yaan..
ee bhana eeh kwahy ndio umenisoma leo ok naona umenipa fursa muhimu sana ngoja nijitambulishe kwa majina naitwa mr pipa aka nabii wa mikeka isiyo lost ukitaka kunipata mm njoo jukwaa la siasa, hoja mchanganyiko pamoja na la tunda kimasikhara, mara nyng nipo jukwaa la michezo hususan kwenye uzi wetu pendwa wazee wa mikeka kule hakuna members asie nijua labda uwe mgeni ni bigwa wa kutoa odd kubwa kubwa kuanzia laki na zina win, hakuna kiongoz wa nchi hiyi asie nijua iwe rahis mpaka baloz wako asante kwa kunisikiliza usisahau naitwa mr pipa
 
Back
Top Bottom