Wakuu hii chachua ya wahindi irudishwe tu.

Aug 29, 2021
10
17
20240215_065010.jpg


Nmeona watu wana kumbushia experience yao na hii kitu huko X,sisi tuliyo ikuta inapotea mpk leo tuna experience na huu ugolo wa wamasai.
Wanasema ni kali kuliko ugoro wa kawaida sasa wahindi wanaweza kumudu vipi na sisi tukashindwa.
 
Back
Top Bottom