Saint Ivunga vipi?

mh, hata mie cjamtia machoni kwa cku kadhaa. . . hebu ngoja nicheck na ex-mke mwenza CUTE huenda akawa na majibu!
 
Last edited by a moderator:
Anasubiri Boom la mwezi wa kumi...
hivyo mvumilieni kwa miezi hii mitatu ambayo atakuwa hewani kwa kusua sua..

Kwa maelezo zaidi, tembelea Ofisi za Idara ya Habari MAELEZO...

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano JeiEfu...
 
TANMO acha uongo jamani khaa! ngoja aamke
 
Bila shaka atakuwa "denti" so ametingwa na masuala ya kubrash GPA kwa visaplimentari, si unajua tena huu mwenzi kwa madenti?
 
Wote wawili na mkewe Mwali sijawaonapo? sijui wako wapi nimewamiss sana.
 
Back
Top Bottom