Said Mohamed Saad - Mmiliki wa Home shopping Centre, amwagiwa tindikali!

Hata India wamewekeana tindikali wanafikiria kuweka sheria kama ni nani auziwe na nani asiuziwe.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Kwa mazingira ya kwetu mbona ize kupata tindikali.
Sijui yale ya kwenye betri ya gari yana concentration kiasi gani,
But I can get a very concentrated (inakuwa nzito-almost jelly-like) Sulphuric acid, Hydrochloric acid kwenye shule zetu za sekondari.
zipo bwerere.
 
Mungu ampe uponyaji, nalaani vitendo vya umwagiliwaji wa tindikali unaoendelea nchini
 
Ukweli ni kuwa jinsi Said Mahonda alivyo na kibri na dharau, amejijengea maadui wengi sana katika maisha yake.

Kuna malalamiko mengi kutoka wafanya kazi wake, wafanya biashara wenzake na hata wateja wake. Tatizo lake kubwa ni kuwa kaweka pesa mbele, na hudhani kuwa pesa ndio kila kitu.
 
Kuna anaelindwa zaidi ya Rais wa USA? J. F. Kenedy kauliwa kwa risasi na ulinzi na walinzi wote aliokuwa nao, Ronald Reagan kasalimika kuuliwa lakini risasi ilimpata.

Usilete ushabik wa kinafik na kifataani wakati ukweli unaujuwa.
Ramadhan kareem!
Nmekumiss sana FF,
Glad to see you.
 
Kwa mazingira ya kwetu mbona ize kupata tindikali.
Sijui yale ya kwenye betri ya gari yana concentration kiasi gani,
But I can get a very concentrated (inakuwa nzito-almost jelly-like) Sulphuric acid, Hydrochloric acid kwenye shule zetu za sekondari.
zipo bwerere.

Du mkuu wewe unajua kuwaza. Na walimu wetu walivyochoshwa, malalamiko hayaishi, mafao yao miaka nenda miaka rudi, ukimtoa lazima akupe hata lita 5.
 
Matukio ya kimafia kama haya siyo ya ajabu kutokea kwenye nchi ambazo zilikuwa na mfumo ambao haukuwapa nafasi na uhuru wananchi wake katika kujiamulia mambo yao kwa maana kuwa, pamoja na kuwepo kwa raslimali nyingi lakini wananchi wake walikuwa masikini.

Milango ya uhuru wa kujiamulia mambo kitaifa inapofunguliwa (soko huria), baadhi ya watu hutumia mwanya huo kufanya shughuri za kiovu ili kujitajirisha haraka kwa vile kunakuwa na mianya kwenye sheria na ukosefu wa vitendea kazi vizuri katika taasisi za kupambana na maovu huku rushwa ikiwa ni bargaining power.

Vurugu kama hizi ndizo huwa zinazaa makundi katika jamii ambapo kundi moja linaendelea kuwa masikini, la,pili linakuwa la matajiri wa kati na kundi la tatu ndilo la kina Said Mohamed Saad (loaded).

Mambo kama haya yalitokea sana katika nchi za ulaya ya mashariki na urusi lakini wachina kwa kuliona hili waliamua kutunga sheria kali sana kukabiliana na matukio na shughuri kama hizi za kimafia wakati nchi ikiwa kwenye mpito kuelekea soko huria.
 
Mke wa mtu ni sumu. Wakuu nimepewa habari kutoka kwa wahusika wa ndani, kisa kikubwa ni kwamba huyu tajiri alikuwa anamega mke wa mtu.
 
Ukweli ni kuwa jinsi Said Mahonda alivyo na kibri na dharau, amejijengea maadui wengi sana katika maisha yake.

Kuna malalamiko mengi kutoka wafanya kazi wake, wafanya biashara wenzake na hata wateja wake. Tatizo lake kubwa ni kuwa kaweka pesa mbele, na hudhani kuwa pesa ndio kila kitu.

Kweli Dada yangu huyu jamaa hata mimi nazipata sana data zake jamaa fedhuli sana,wake za watu sana,jeuri sana,nasikia ni mafia wakutupa,kwakweli hiyo tindikali haki yake tu,malipo sawa na vitendo vyake fundisho kwa wengine,
Jamaa wamechoka kwa sababu alishavimiliki vyombo vya ulinzi akaona ndio kila kitu,ukijua hili wenzako wanajua lile
 
Du mkuu wewe unajua kuwaza. Na walimu wetu walivyochoshwa, malalamiko hayaishi, mafao yao miaka nenda miaka rudi, ukimtoa lazima akupe hata lita 5.
Si tu mwalimu.
Hata mwanafunzi anaweza kuwa na access ya conc. HCL, H2SO4.
two decades ago as a student I used to "steal" a tinge of Conc.HCL and Iron II sulphide (FeS) bars nakuja nazo bwenini usiku namix nje ya bweni upepo unakotokea, harufu inayotokea hapo mtahama bweni.... (they used to describe it as a rotten egg)
 
Wakuu,

Kwa muona wangu nadhani huyo kijana aliyemfanyia huyo mfanyabiasha hicho kitendo bila shaka atakuwa ameagizwa kufanya hivyo aidha na mahasimu wa Said Mohamad au wafanyabiashara wenzake.

Katika hali kama hiyo, bwana Said akipata nafuu na kuruhusiwa kutoka hospitali, kwa historia yake ya kuwa mafia daraja la kwanza nchini, naamini lazima atalipiza kisasi kwa hao atakao wahisi kuwa wenda ndio wamemfanyia hilo tukio la kumwagiwa tindikali.

Rai yangu; huyu bwana Said ilipaswa apigwe risasi eneo ambalo lingempoteza kabisa maisha, ila kwa kuwa akijafanyika hicho, basi jitihada zifanywe za kumuondoa tu duniani ili tuepushe madhara makubwa huku uraiani.
 
Leo niko pamoja sana.
 
sasa mwan lumumba unasaidiaje, kumbe unajua kwamba ni mafia? policcm hawawezi mfanya kitu?
 
Nchii hii raia wanalinda malizao wenyewe police sio wakutegemea maana wao huchukua chao mapema! napenda kuwambia hata ukiishi na watu vizuri huwezi kukosa maadui coz its nature
 
acha akome na kwa matendo hayo angekua kwetu musoma tungechinja kabisa hii nchi ina wenyewe ajue hivyo
 
Back
Top Bottom