Said Mohamed Saad - Mmiliki wa Home shopping Centre, amwagiwa tindikali!

Nilijua tu, issue Kariakoo haiishi kirahisi.

Media zimenunuliwa, 'redio flani' ikatumika kuonyesha kuwa tatizo ni TRA wakati ukweli unajulikana.

Magazeti mengine yakamezea. Tunashangaa haya?

Njia iliyobakia ilikuwa ni wazi watu hawa ambao biashara zao zimevurugika ghafla wataanza kutafuta mbadala. Tatizo ni kujua mbadala wake ni upi.

#NawazaTu
 
Tanzania kila mtu anaruhusiwa kuuza acid..H2CO4 zipo madukani
kila gaidi anaweza kujinunulia
Sdhani kama ipo sheria ya kulinda haya makitu
serikali iweke sheria kali kuhusu uuzaji na ununuzi
mtu awe na kibali maalumu ndio auziwe kama mashule nk..
la sivo tutakwisha wengi....................................
nimesahu kusema utasikia CHADEMA wanahusika au green guard wanahusika
tunakimbilia kutaja watu bila kuangalia madhara yanayoendelea.
 
watanzania hatuna amani sema tunauwoga me mana kila kukicha janga ila kwajinsi 2nakolekea nahisi hata mazombi wanaamuka oneday changez ganna come da kwel
 
ndiyo kamwagiwa tindikali?
Naona tangu amwagiwe tindikali Saed Kubenea na Tigambwage, basi imekuwa kama ndiyo fashioni hivi sasa. Kila mtu anamwagiwa tindikali. Ni adhabu ya kitoto sana na ya watu wasiokuwa na hata tone la fikra.

Wanaofanya hayo, raha yao ni nini? Je ni kuona wenzako wakiwa na ulemavu wa ngozi au ni kuona tu vile wanavyobadilika na kuwa na sura mbaya? Maana kwa imani yangu hata ummwagie tindikali, kama mtu ana roho mbaya, atabaki hivyo hivyo. Kama ni fisadi atabaki fisadi tu, hakuna utakachokuwa umesolve zaidi ya kumsababishia maumivu ya muda tu.

Tubadilike watanzania.
 
Kuna memba mmoja humu alikuwa anauliza ni wapi anaweza kununua TINDIKALI, anaweza kutuambia alkuwa anataka ya nini?
 
POLI-CCM Hawakawii kusema Chadema kimehusika,hawana maana hao??
Kama mnabisha subirin matamko yao??
Tumewakabidhi nchii watulinde na kodi tunalipa,wao wameshindwa kutuhakikishia usalama ndan ya taifa letu,
CCM Wamefeli kwenye sekta ya uchumi.,
Wamefeli kwenye sekta ya elimu,
Wamefeli kwenye sekta ya afya,
Wamefikia kubaya sana hadi sasa wamefeli kwenye sekta ya ulinz na aman kwa raia wake,wamefanikiwa kwenye ufisadi,kula rushwa,kuminya vyombo vya habari na kuwatesa raia wake tuh,serikali gani ya kishetani hii??
 
hivi tindikali ndo nini wakuu,mi nasikiaga tu chumvi miiingi maji kidogo ndo mixa yake,eti kweli eeeh?
 
Back
Top Bottom