- Thread starter
- #41
Mkuu hata Tanzania kuanzia pale zero zero njia panda ya ngara kupita benaco hadi rusumo hamna nyumba ya nyasi. sema umeme ndo tabu. halafu kuhusu bereau de change hakuna kwa sababu watu wanaogopa coz usiku watu wanavuka na mitutu ya nguvu kuja kuchukua chao. lakini unapata hela kuanzia mil 5 kushuka chini. pale Rusumo unapata kila kitu. disco huwa tunaenda kucheza pale Rwanda. kuna club inaitwa amarembo. alfajili saa 10 unavuka kurudi tz na mtoto wa nguvu unaenda kuchoma pale kwa burigita guest house. Mia
Kama nchi hatuwezi kuishi kwa woga eti kwa sababu ya majambazi basi hatuna haja ya kuwa Bureau de change au tawi la benki.