Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,485
- 78,737
Yeah kaka..hakuna askari kumsumbua mtu...na huwezi kukuta wanazozana...
Angalia boda boda zao jamaa walivyo kuwa wanajari usalama wa abiria....
angalia mabasi yao hakuna kusimama....
Mkuu tena pitia pale Ferwafa..ukaone zile ofc zilivyo...kisha tazama za kwetu TFF..
Nitakufahamisha mengi...we ucjari leo mpira wa man city na liverpool..katazame pale Alpha Palace VIP....utajifunza mengi sana kuhusu Rwanda..karibu mkuu