Tanzania na Rwanda kuna nini?

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,143
Hello!
Majuzi nchi ya Rwanda imemteua aliyekuwa mkuu wa Majeshi kuwa Ambassador nchini Tanzania, huku Tanzania kwa mfululilizo tukiwapeleka ma Meja Jenerali kuwa mabalozi nchini Rwanda.
Je, nchi hizi 2 zinatishana ?
Je, kuna nini kinaendelea?
Ni sawa nchi za ukanda mmoja (East Africa countries) kufanyiana umafia hivi?
1709376430703.jpg
 
aje tu atakutana na kipara ngoto mwana wa Sumbawanga anamsubiri pale getini, tangu jamaa atoke Lutindi Mental Hospital amekua mnyama sana mwache huyo tutamkabidhi kipara ngoto
 
Rwanda hawawezi itisha Tanzania hata kidogo...
Rwanda kw sasa ni hatari aisay ukubwa wa nchi si reason ya kushinda vita.

Vita ni vita tu Rwanda wako vizuri kwa sasa we nieleze Tanzania kapigana vita ya mwisho lini?

Kupeleka baadhi ya wanajeshi wa kikosi kimoja kupigana na M23 si reason ya kuamini sana JWTZ

We huoni Rwanda alivyo wasaidia Msumbiji, wako vizuri sana
 
Achana na mambo ya kizamani ya kupigana, sikutaka kutaja bali ni intelijensia...

Rwanda ni wadogo sana kwa Tanzania, mbinu zao zote zinajulikana, mwisho wa siku PK amebaki kucheza mind games tu...
 
Back
Top Bottom