Safari yangu ya Rwanda

Mkuu hata Tanzania kuanzia pale zero zero njia panda ya ngara kupita benaco hadi rusumo hamna nyumba ya nyasi. sema umeme ndo tabu. halafu kuhusu bereau de change hakuna kwa sababu watu wanaogopa coz usiku watu wanavuka na mitutu ya nguvu kuja kuchukua chao. lakini unapata hela kuanzia mil 5 kushuka chini. pale Rusumo unapata kila kitu. disco huwa tunaenda kucheza pale Rwanda. kuna club inaitwa amarembo. alfajili saa 10 unavuka kurudi tz na mtoto wa nguvu unaenda kuchoma pale kwa burigita guest house. Mia

Kama nchi hatuwezi kuishi kwa woga eti kwa sababu ya majambazi basi hatuna haja ya kuwa Bureau de change au tawi la benki.
 
WA NDIMA, Keep on your MIND: Huwezi kupingana na mabadiliko yanapotokea. Ni kweli hatujawa na utamaduni wa kupigana lakini mabadiliko yanaweza kutokea na huwezi kupingana nayo. Je ulitegemea kwamba mmasai mwamamume (MORANI) angeweza kukaa na kumsuka mwanamke nywele?, jambo hili huko nyuma kwa MORANI ilikuwa ni aibu lakini sasa mabadiliko ya hali ya hewa na vigezo vinginezo vimechangia kuharibu utamaduni wao wa ufugaji na kukosa kipato.

Hata nami nisingependa tupigane wenyewe kwa wenyewe, lakini OMUTWALE amezungumzia viashira vinavyoweza kutufikisha hapo na wajibu wetu ni kushughulika na hivi viashiria ili tusifike huko.

Huku ni kutishana Mkuu, viashiria gani vinavyoonekana vitakavyotupelekea sisi kupigana wenyewe kwa wenyewe, mfano wako wa Mmasai sio kabisa katika issue hii, fikiria upya mkuu
 
Kwa Tanzania hakuna kiongozi wenye nia ya kuendeleza watanzania wala kuwaletea maendeleo
Wapo pale kujineemesha matumbo yao na familia zao
hakuna kiongozi mwenye utashi wa kusema hili nalifanya kwa maendeleo ya nchi yangu na watu wake ila analifanya kwa kuwa kabla ya kusaini mktaba wa kufanya hilo jambo kashapokea cha kwake. matokeo yake ni zile barabara ambazo zinabomoka kabla ya kukabidhiwa maana lami haina kiwango, mradi wa maji unakwama kabla ya kuanza, bwawa la maji linapasuka kabla ya kuanza kutumika, madarasa yana nyufa kabla hayajaanza kutumika, jengo limebomoka na vitasa kuachia kabla halijaanza kutumika, miradi hewa kibao ambayo hata waliopitisha na kuidhinisha matumizi ya fedha hawachukuliwi hatua zozote, au wanawashtaki wale waliofichua uozo na ulaji huo.
Kila sehem imeoza kuanzia ngazi ya kijiji mpaka taifa kw aulaji usio na kikomo na usio na mkemeaji maana kwenye kutafuna kila mmoja wao ana fungu lake.
Tutabaki kushangilia Rwanda inaendelea wakati sisi ndo tunazidi kurudi nyuma kimaendeleo
Hadi hapo kwenli tutakapopata viongozi ambao wana utashi na nia haswa ya kutupeleka kule tunakotaka na wananchi watakapoamka kudai kuwa haya madudu yanayofanyika sasa yaishe na watakapokuwa na nguvu za kumwajibisha kiongozi kwa madudu yake aliyoyafanya.

Napenda kukukosoa kidogo hapa. Nadhani malalamiko yako juu ya uongozi Tanzania yanakita zaidi katika uongozi wa sasa. Kama ni hivyo, naona tathmini yako juu ya JK wetu haiko sawa.
Mimi namwona JK ana moyo na uchungu wa nchi yake. Ni mzalendo (angalia kujitolea mabilioni ya Kikwete). Tatizo lake ni kutokuwa na ufahamu wa kina juu ya nini kifanywe (matamshi yake juu ya umeme kwamba yeye si mvua, bila kujua kuna nchi duniani hazina mvua kabisa na zina umeme saa 24) Infact, ukifuatia matamshi yake utaona kana kwamba anaamini Tanzania inaendelea vizuri sana. Ana upeo mdogo wa fikra(he does not think big)
Hii ndiyo maaana kwa kutatua tatizo la usafiri wa wanawake waja wazito akapendekeza kununuliwa 'Bajaji 400'! Akawaambia wazee wa Dar tumeendelea kwani siku hizi huoni mtu 'mvaa kaniki' n.k.
Tatizo, ukishakuwa na upeo huo mdogo, huoni rushwa kuwa ni tatizo kubwa la kuangamiza taifa. Huoni kuwa kutumia mabilioni ya fedha katika safari za nje na ufujaji ni tatizo. JK amegombania urais mara ya kwanza akidhania ni aina ya kupata uluwa. Kunako mwisho wa kipindi hicho akafahamu kuwa si hivyo. Mara ya pili amegombea kwa sababu ya kuona aibu kama ataishia awamu moja tu atakuwa kioja na kudharauliwa! Pengine pia kwa sababu ya kutaka kupata nafasi ya kujaribu kusawazisha baadhi ya makosa aliyoyafanya huko nyuma. Hii ameielezea hata yeye mwenyewe kwamba miaka 5 ya kwanza alikuwa anajifunza (dry run).
Nadhani hii ndiyo tathmini sahihi ya JK. Hafanyi ayafanyayo kwa kuichukia Tanzania, la. JK ni Mzalendo extremist katika uzalendo wake, kiasi aweza kukuuwa kama wataka kuidhiru Tanzania (kwa mantiki yake yeye ya kuidhuru)
Pia anadhania tumefika. Na si Rwanda wala Kenya wanaweza kufikia hata mavumbi yetu tuliyowaachia nyuma!
 
Ingawa sikubali Rwanda hamna nyumba za nyasi, naweza kusema kichapo mara nyingine huleta discipline. Wanyarwanda usawa huu hawana budi kutia akili tu kwani nchi ndogo, washauana sana, wafanye nini sasa?

Sie tunaojivunia amani na utulivu kila siku tunacheza lelemama.

Ulaya kabla ya Black death walikuwa wazembe sana, kilivyopukutisha watu, watu wakakosa imani na mungu, ikabidi kila mmoja akili kumkichwa, wakaendelea. Ndicho kinachotokea Rwanda sasa hivi to an extent.
 
Rwanda wanaimprove sana sekta ya elimu sana kwa upande wa ICT. ndio unasaidia sana kwa maendeleo. Hivi majuzi, walijaribu kkuajiri walimu toka Kenya

Source

This year, the annual Rwanda teacher training exercise in English proficiency will not take place, an official at the teacher service commission has revealed.

The official who spoke on condition of anonymity, because he is not the official spokesperson, said that the teacher service commis­sion plans to recruit ‘Teacher mentors’ before the end of this year to replace teacher trainers who have the done the job since 2009.
“All teacher trainers who were used last year will not be called this year. We are doing away with the approach to allow for the intro­duction of mentors who will be contract staff based at each of the chosen schools,” he said.
The change in policy means at least 1,035 trainers – about 700 of them Rwandans and the rest Ugandans – will not be hired this year. Instead, about 4,000 teachers from Kenya will be hired early next year to work as teacher mentors.
 
Napenda kukukosoa kidogo hapa. Nadhani malalamiko yako juu ya uongozi Tanzania yanakita zaidi katika uongozi wa sasa. Kama ni hivyo, naona tathmini yako juu ya JK wetu haiko sawa.
Mimi namwona JK ana moyo na uchungu wa nchi yake. Ni mzalendo (angalia kujitolea mabilioni ya Kikwete). Tatizo lake ni kutokuwa na ufahamu wa kina juu ya nini kifanywe (matamshi yake juu ya umeme kwamba yeye si mvua, bila kujua kuna nchi duniani hazina mvua kabisa na zina umeme saa 24) Infact, ukifuatia matamshi yake utaona kana kwamba anaamini Tanzania inaendelea vizuri sana. Ana upeo mdogo wa fikra(he does not think big)
Hii ndiyo maaana kwa kutatua tatizo la usafiri wa wanawake waja wazito akapendekeza kununuliwa 'Bajaji 400'! Akawaambia wazee wa Dar tumeendelea kwani siku hizi huoni mtu 'mvaa kaniki' n.k.
Tatizo, ukishakuwa na upeo huo mdogo, huoni rushwa kuwa ni tatizo kubwa la kuangamiza taifa. Huoni kuwa kutumia mabilioni ya fedha katika safari za nje na ufujaji ni tatizo. JK amegombania urais mara ya kwanza akidhania ni aina ya kupata uluwa. Kunako mwisho wa kipindi hicho akafahamu kuwa si hivyo. Mara ya pili amegombea kwa sababu ya kuona aibu kama ataishia awamu moja tu atakuwa kioja na kudharauliwa! Pengine pia kwa sababu ya kutaka kupata nafasi ya kujaribu kusawazisha baadhi ya makosa aliyoyafanya huko nyuma. Hii ameielezea hata yeye mwenyewe kwamba miaka 5 ya kwanza alikuwa anajifunza (dry run).
Nadhani hii ndiyo tathmini sahihi ya JK. Hafanyi ayafanyayo kwa kuichukia Tanzania, la. JK ni Mzalendo extremist katika uzalendo wake, kiasi aweza kukuuwa kama wataka kuidhiru Tanzania (kwa mantiki yake yeye ya kuidhuru)
Pia anadhania tumefika. Na si Rwanda wala Kenya wanaweza kufikia hata mavumbi yetu tuliyowaachia nyuma!

Mkuu tathmini yako juu ya mkuu wa kaya inafurahisha na kusikitisha sana. Inasikitisha kwa sababu kiongozi wa nchi huwa na washauri wengi sana ambao kama watatumiwa vizuri huweza kuleta mabadiliko katika nchi. Hapa kiongozi inatakiwa awe msikivu na awe na umakini wa kuchagua ushauri uletwao mezani. Inafurahisha kama yeye anaona tumewatimulia vumbi la mbali Kenya na Rwanda sijui katika lipi.
 
Napenda kukukosoa kidogo hapa. Nadhani malalamiko yako juu ya uongozi Tanzania yanakita zaidi katika uongozi wa sasa. Kama ni hivyo, naona tathmini yako juu ya JK wetu haiko sawa.
Mimi namwona JK ana moyo na uchungu wa nchi yake. Ni mzalendo (angalia kujitolea mabilioni ya Kikwete). Tatizo lake ni kutokuwa na ufahamu wa kina juu ya nini kifanywe (matamshi yake juu ya umeme kwamba yeye si mvua, bila kujua kuna nchi duniani hazina mvua kabisa na zina umeme saa 24) Infact, ukifuatia matamshi yake utaona kana kwamba anaamini Tanzania inaendelea vizuri sana. Ana upeo mdogo wa fikra(he does not think big)
Hii ndiyo maaana kwa kutatua tatizo la usafiri wa wanawake waja wazito akapendekeza kununuliwa 'Bajaji 400'! Akawaambia wazee wa Dar tumeendelea kwani siku hizi huoni mtu 'mvaa kaniki' n.k.
Tatizo, ukishakuwa na upeo huo mdogo, huoni rushwa kuwa ni tatizo kubwa la kuangamiza taifa. Huoni kuwa kutumia mabilioni ya fedha katika safari za nje na ufujaji ni tatizo. JK amegombania urais mara ya kwanza akidhania ni aina ya kupata uluwa. Kunako mwisho wa kipindi hicho akafahamu kuwa si hivyo. Mara ya pili amegombea kwa sababu ya kuona aibu kama ataishia awamu moja tu atakuwa kioja na kudharauliwa! Pengine pia kwa sababu ya kutaka kupata nafasi ya kujaribu kusawazisha baadhi ya makosa aliyoyafanya huko nyuma. Hii ameielezea hata yeye mwenyewe kwamba miaka 5 ya kwanza alikuwa anajifunza (dry run).
Nadhani hii ndiyo tathmini sahihi ya JK. Hafanyi ayafanyayo kwa kuichukia Tanzania, la. JK ni Mzalendo extremist katika uzalendo wake, kiasi aweza kukuuwa kama wataka kuidhiru Tanzania (kwa mantiki yake yeye ya kuidhuru)
Pia anadhania tumefika. Na si Rwanda wala Kenya wanaweza kufikia hata mavumbi yetu tuliyowaachia nyuma!

Mkuu Sijali. ama kweli umetoa tathmini ya kisayansi na ya uhakika kumhusu JK. Nikubaliane nawe zaidi na sana katika hilo la UPEO WAKE MDOGO. Naihifadhi hii tathmini yako ili niisome tena mwaka October 2015 atakapomaliza kipindi chake.
 
Mkuu hata Tanzania kuanzia pale zero zero njia panda ya ngara kupita benaco hadi rusumo hamna nyumba ya nyasi. sema umeme ndo tabu. halafu kuhusu bereau de change hakuna kwa sababu watu wanaogopa coz usiku watu wanavuka na mitutu ya nguvu kuja kuchukua chao. lakini unapata hela kuanzia mil 5 kushuka chini. pale Rusumo unapata kila kitu. disco huwa tunaenda kucheza pale Rwanda. kuna club inaitwa amarembo. alfajili saa 10 unavuka kurudi tz na mtoto wa nguvu unaenda kuchoma pale kwa burigita guest house. Mia
Sasa hao wanapovuka na mitutu jeshi letu liko wapi? au kazi yao ni kuilinda ccm tu?
 
Ukweli kagame amaejitahidi sana kuiweka Rwanda up up up.

Yani hata mimi nilipofika pale sikuamini nilicho ona Rwanda.
 
Sasa hao wanapovuka na mitutu jeshi letu liko wapi? au kazi yao ni kuilinda ccm tu?

mkuu ule mpaka mrefu sana. jamaa wanavuka na mitumbwi. polisi wameshindwa kuwadhibiti. wanavukia sehemu inaitwa kashasha kila mkuu wa polisi anapajua. sana sana wanakamata Bunduki coz wakishaiba bunduki wanaficha hukuhuku. hadi serikali iliamua kuhamisha kijiji kizima cha kashasha na kuwahamishia kijiji cha mtakuja sababu ya hao majambazi. cha ajabu walihamishwa kifisadi. Mia
 
Napenda kukukosoa kidogo hapa. Nadhani malalamiko yako juu ya uongozi Tanzania yanakita zaidi katika uongozi wa sasa. Kama ni hivyo, naona tathmini yako juu ya JK wetu haiko sawa.
Mimi namwona JK ana moyo na uchungu wa nchi yake. Ni mzalendo (angalia kujitolea mabilioni ya Kikwete). Tatizo lake ni kutokuwa na ufahamu wa kina juu ya nini kifanywe (matamshi yake juu ya umeme kwamba yeye si mvua, bila kujua kuna nchi duniani hazina mvua kabisa na zina umeme saa 24) Infact, ukifuatia matamshi yake utaona kana kwamba anaamini Tanzania inaendelea vizuri sana. Ana upeo mdogo wa fikra(he does not think big)
Hii ndiyo maaana kwa kutatua tatizo la usafiri wa wanawake waja wazito akapendekeza kununuliwa 'Bajaji 400'! Akawaambia wazee wa Dar tumeendelea kwani siku hizi huoni mtu 'mvaa kaniki' n.k.
Tatizo, ukishakuwa na upeo huo mdogo, huoni rushwa kuwa ni tatizo kubwa la kuangamiza taifa. Huoni kuwa kutumia mabilioni ya fedha katika safari za nje na ufujaji ni tatizo. JK amegombania urais mara ya kwanza akidhania ni aina ya kupata uluwa. Kunako mwisho wa kipindi hicho akafahamu kuwa si hivyo. Mara ya pili amegombea kwa sababu ya kuona aibu kama ataishia awamu moja tu atakuwa kioja na kudharauliwa! Pengine pia kwa sababu ya kutaka kupata nafasi ya kujaribu kusawazisha baadhi ya makosa aliyoyafanya huko nyuma. Hii ameielezea hata yeye mwenyewe kwamba miaka 5 ya kwanza alikuwa anajifunza (dry run).
Nadhani hii ndiyo tathmini sahihi ya JK. Hafanyi ayafanyayo kwa kuichukia Tanzania, la. JK ni Mzalendo extremist katika uzalendo wake, kiasi aweza kukuuwa kama wataka kuidhiru Tanzania (kwa mantiki yake yeye ya kuidhuru)
Pia anadhania tumefika. Na si Rwanda wala Kenya wanaweza kufikia hata mavumbi yetu tuliyowaachia nyuma!

Mkuu nimeipenda tathmini yako sana angalau umeweka ukweli wa aina na vision za viongozi tulio nao
Hii yafaa sana itumike katika kutathmini kipi tumefanya katika uongozi wa JK kwa miaka kumi
Wapi tulikwama na kipi ambacho kimefanikiwa
Kwa tathmini yako kwa kweli naikubali sana "Upeo mdogo" na kila kitu kwa hawa viongozi wetu haswa kiongozi mkuu anakiona ni cha kawaida
Kujaa kwa nyumba za za udongo kilometa tano kutoka kati kati ya jiji la Dar, foleni za dar, mafuriko, ubovu wa miundo mbinu, rushwa inavyotawala kila sekta bado kweli tunahitaji kiongozi mwenye tathmini ya nini afanye kuyaondoa hayo
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom