sad:: mwendesha baiskeli akutana na simba selous

Kifupi sijaelewa kitu hapo. Kwanza nina maswali machache
1. Simba kafa?
2. Nani alichukua picha?
3. Jamaa kafa?
3. Hii habari iko gazetini au ni picha tu?

Mwisho, mleta mada akajipange upya. Asilete vitu visivyo na kichwa wala miguu. Kuna habari za kimizaha lakini hii ni tofauti. Leta habari iliyokamilika. Najua waliotazama hi picha hawajapata majibu ya maana hata kidogo
 
Inaelekea ni njia yake aliyozoea kupita akienda katika kutafuta riziki, naona mfuko labda kabeba unga au mchele. Bahati yake mbaya siku hiyo simba nao wanapita. Mapenzi ya mungu yametimizwa.

Mkuu Ivuga asante kwa picha hii.
 
Halafu isitoshe watu wa vijijini wengi walio karibu na mbuga njia zao pia ziko kwenye mbuga na wenyewe wanakuwa wamezoea, so siku ikiwa yako basi nyumbani hawakuoni tena.

inahuzunisha kwa kweli.

Pole kwa familia kwa kumpoteza mpendwa wao.
 
naona kama kanyofoa shingo ndo anailia pembeni vile......du R.I.P.
 
Kifupi sijaelewa kitu hapo. Kwanza nina maswali machache
1. Simba kafa?

2. Nani alichukua picha?
3. Jamaa kafa?
3. Hii habari iko gazetini au ni picha tu?

Mwisho, mleta mada akajipange upya. Asilete vitu visivyo na kichwa wala miguu. Kuna habari za kimizaha lakini hii ni tofauti. Leta habari iliyokamilika. Najua waliotazama hi picha hawajapata majibu ya maana hata kidogo

Mkuu nilikuwa sijaangalia vizuri hii picha ya kusikitisha, ukimwangalia huyo Simba inaonekana kamakafa vile, kwani angekuwa hai asingeweza kukaa hivyo na amefumba macho na mdomo uko sawa na ardhi ingawa kunaonekana kitu kama ngozi, haieleweki ni damu iliyoganda ya simba mfu au ni ngozi ya koo au tumbo la huyo jamaa kwa kweli its very unclear and difficult to understand
 
Watetezi wa haki za wanayama wanakuambia ni sad sababu huyo simba aliuwawa akiwa nyumbani kwake sio sad sababu aliua binadamu Maana naona na simba kama naye alipigwa shaba. Selous si mbuga ya wanyama

Inatisha ila ndo balance ya nature.
 
Angalieni hii encounter ya mtu na simba hapa kwenye video hapa chini; kumbe simba nao wanaogopa binadamau hata kama hana silaha.

Last edited by a moderator:
Huyo simba mbona kacho hivyo na hao sita wengine kwa nini hawajonekana wakipata chochote au walikuwa washashiba na mie sioni vizuri kama kuna sehemu imenyofolewa.
 
Aisee! uzembe unagharimu sana....huyo atakua alijua hata lakini tu mazoea. RIP
 
Angalieni hii encounter ya mtu na simba hapa kwenye video hapa chini; kumbe simba nao wanaogopa binadamau hata kama hana silaha.

Duh....mzee nikudhamini uende ukafanye ya Mike mikumi?
 
Last edited by a moderator:
Angalieni hii encounter ya mtu na simba hapa kwenye video hapa chini; kumbe simba nao wanaogopa binadamau hata kama hana silaha.

hakuwa na njaa huyu wankiwa na nja wanakula hadi fisi
 
Siku ukikutana na simba uso kwa uso usistuke wala kukimbia.bali anza kurudi kinyume nyume huku ukimkazia macho.
Hapo utamuona simba nae anurudi hivyo *x2

pole kwa ndugu wote
 
Back
Top Bottom