Mshauri wa Ulinzi wa Marekani mh Suvillan akutana na Rais Mahmoud Abbas wa Palestine kupanga Gaza Ijayo itakavyokuwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,129
Mshauri mkuu wa Ulinzi wa Marekani mh Suvillan akutana na Rais Mahamoud Abbas wa Palestine kupanga Gaza Ijayo itakavyokuwa

Marekani Wanataka Gaza ikabidhiwe kwa Mamlaka ya Palestine chini ya Abbas lakini Netanyahu amesema watakaa Wana wa Israel

Al jazeera news
 
Hii nayo ni Thread?😅
 
😂😂😂😂

Watu wanagawana Gaza

Bwashee utakuwepo Arusha kukabidhiwa Kanzu na barakashia za Magaidi 6 wanaonyongwa?
Takuwepo Kanisa la Bonyokwa nikishuhudia mashago wakibatizwa nimeona jina lako la 4😂
 
Mshauri mkuu wa Ulinzi wa Marekani mh Suvillan akutana na Rais Mahamoud Abbas wa Palestine kupanga Gaza Ijayo itakavyokuwa

Marekani Wanataka Gaza ikabidhiwe kwa Mamlaka ya Palestine chini ya Abbas lakini Netanyahu amesema watakaa Wana wa Israel

Al jazeera news
Gaza inatakiwa iwe milki ya israel hiyo ndio nazareti ya zamani
 
Back
Top Bottom