sad:: mwendesha baiskeli akutana na simba selous

Mmhhh, yaaani hapo sijui jamaa alipata muda wa kusali sala yake ya mwisho??? usikie tu haya mambo au uyaote tu ndo raha yake lakin...
 
Huyo simba vipi hapo naye aliuwawa na askari wa wanyamapori? kamirisha hii habari Tafadhali.
 
Truly sad. Sasa huyo simba wata muua au watamwacha asepe? wasipomuua ina maana atamla huyo msela mpaka ammalize. Simba kwao kuua ni kama kwenda bucha kununua nyama. Kwa hivyo wakimuua, ni kama wamemuonea pia.
 
alikimbia na mkono mmoja tu...na jirani yake kulikuwa na kundi la simba kama 6 wanakuja

Mkuu hapa hichi kipengere hakiihitaji majibu mepesi kwa maswali mazito, cameran alikuwa wapi?na alivyowaona hao simba sita wanakuja yeye alikuwa kwenye mazingira gani? sio nia yangu kubishana, ila ungeileta hii story katika mtiririko mzuri ili tujuwe wats happen? na ujuwe serou game reserve ni kubwa kuliko nchi ya Djibout. ni vizuri kama tutaijuwa hiyo sehemu ni, Barani, kingupira, luhanjando, migingo, luwele au wapi? Asante.
 
Inasikitisha ila vifo vingine kama vya kizembe vile?huyu msela kwa nini hakuwa hata na mkuki?alijiamini vipi?anyway r.i.p
 
Mkuu hapa hichi kipengere hakiihitaji majibu mepesi kwa maswali mazito, cameran alikuwa wapi?na alivyowaona hao simba sita wanakuja yeye alikuwa kwenye mazingira gani? sio nia yangu kubishana, ila ungeileta hii story katika mtiririko mzuri ili tujuwe wats happen? na ujuwe serou game reserve ni kubwa kuliko nchi ya Djibout. ni vizuri kama tutaijuwa hiyo sehemu ni, Barani, kingupira, luhanjando, migingo, luwele au wapi? Asante.
nafikiri ilikua ni luhanjado au
migingo..alikuwa ndani ya gari...but for now mtu ashakfa na ni kwawida yao kupita pale so tha was accedentally we can say
 
Samahani mkuu mbona ukijaribu kuizoom hiyo picha jamaa anaonekana ana mikono yake yote miwili?
 
Back
Top Bottom