Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
Mbona mikono yote miwili iko intact?jaribu kuupa ubongo wako ushikikiano hii picha ilipigwa sio karibu na kabla ya askari kufika na kumkurupusha, huyu simba akawa amesha wahi kunyofoa mkono na kunyonya damu ya jamaa shingoni na kuondoka..