sad:: mwendesha baiskeli akutana na simba selous

mkuu umenena kabisa hapa wakubwa wetu ndio wa kupewa lawama kwa kusnidw kutengeneza miundombinu ya kuepusha haya majanga....na utalii ndio unaongoza kwa kuingiza pesa kwenye pato la taifa

Mkuu wewe ndo mwenye hiyo profile ya surakitabu?
 
Mkuu wewe ndo mwenye hiyo profile ya surakitabu?
unafikiri pale kwenye sura kitabu mtu mmoj tu ndie anaruhusiwa kiuweka hii picha? kama iliwekwa mwaka 2009 dec ...basi ndio mimi:car:
but u cool down
 
Haya yanaweza kumkuta mtu yeyote,tusianze kulaumiana kwa hili jamani kwani haijulikani chanzo cha tukio hili maana kuna mambo ya kushangaza kuhusu hii picha.
Inaonekana Simba huyu kama alitumwa vile maana hatuoni kula nyama zaidi ya kulamba damu,pia hatujui ni mazingira gani haya mpaka marehemu huyu akawa anapita huku mbugani bila kuchukua tahadhari.
Inasikitisha na Mungu amlaze marehemu mahali pema peponi.Amina
 
Duh .... kweli anaonekana ana njaa sana cheki alivyokonda.....HALAFU NASHANGAA... SIMBA MBONA HUA ANAANZA KULA UTUMBO NA MAINI, KISHA ANAMALIZIA NYETI NA MAKALIO? HUYU SIMBA GANI ANAANZA KULA MKONO?:A S-cry:
 
Inasikitisha ila vifo vingine kama vya kizembe vile?huyu msela kwa nini hakuwa hata na mkuki?alijiamini vipi?anyway r.i.p

pata picha - anaendesha baiskeli...kisha mgongoni ana mkuki... hamadi Simba huyu.... HUO MKUKI ATAUTOA VP??
Jamani maswali mengine tuwe tunafikria kabla ya kuongea!
Mungu amlaze mahali pema huyu mhanga!

Tukiangalia kwa jicho la upembuzi/uchambuzi, baiskeli ndio njia rahisi ya kusafiria. Huenda ingekuwepo njia nyingine rahisi asingekutana na mauti vile.
 
MASIKINI HUKO NYUMBANI WATOTO WANASUBILI BABA ARUDI ALETE UNGA WALE UGALI, DUHHH.....MASIKINI WE...INASIKITISHA SANA...:disapointed:
 
unafikiri pale kwenye sura kitabu mtu mmoj tu ndie anaruhusiwa kiuweka hii picha? kama iliwekwa mwaka 2009 dec ...basi ndio mimi:car:
but u cool down

Poa mkuu....hii nii direct link ya pale surakitabu....:car:
 
Back
Top Bottom