Pole hus naona leo huna bahati lol!khaa!
.
Nitakuwa Mwanza kwa miezi 2 kisha nitaenda Arusha,nikutumie nauli?
<br />Mi najua hutakula kwani haupo hivyo,halafu hujafika mwanza wewe!This is your golden chance!
hahahahah lolWe mtoto lala!Shauri yako!Si wakubwa wakati wetu huu!
Lala ukue!!
Nani huyo analala mchana?
Eti ni kwanini mabint huwa hawasemi ndio wakitongozwa,yan unastukia tu mmedo?