Rose,Peter,Diana,Joseph,Juma,Shabani........

hahaha sasa Eiyer ukinitumia nauli ntakula wiselady huwa hawapendi kusafiri ujue

Mi najua hutakula kwani haupo hivyo,halafu hujafika mwanza wewe!This is your golden chance!
 
Mi najua hutakula kwani haupo hivyo,halafu hujafika mwanza wewe!This is your golden chance!
<br />
<br />
hilo nalo neno,ingawa nitakuwa naadopt tabia za Eiyer za kusafiri lkn nitumie nauli..... :car:
 
<br />
<br />
hilo nalo neno,ingawa nitakuwa naadopt tabia za Eiyer za kusafiri lkn nitumie nauli..... :car:

Usijali kuna tabia zingine ukiadopt sio mbaya wacha nikutumie,nadhan laki itakutosha!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom