Rose,Peter,Diana,Joseph,Juma,Shabani........

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Inasemekana wenye majina hayo na mengine mengi huwa ni vicheche na hawatulii na wapenzi wao,sijui kuna ukweli kwenye madai haya!
 
Kama ni kweli utafanyaje?!
Kama sio kweli utafanyaje?!

Mi namjua Shabani alihamiaga shuleni kwetu darasa la nne...miaka 12 sijui na tatu alikua ameshaanza mapenzi kwahiyo labda!
 
Kuna diana namjua kicheche
na diana mwingine namjua katulia sana

the same kwa rose...

But peter wote vicheche.....

Na wengine....
 
Sidhani kama jina linaweza mfanya mtu kuwa kicheche......NINAHISI KAMA NI TABIA TU YA MTU, NA YEYOTE ANAWEZA KUWA KICHECHE..... Hayo ni mawazo yangu tu lakiniiii
 
Kama ni kweli utafanyaje?!
Kama sio kweli utafanyaje?!

Mi namjua Shabani alihamiaga shuleni kwetu darasa la nne...miaka 12 sijui na tatu alikua ameshaanza mapenzi kwahiyo labda!
Kumbe rev.,mimi na cpu wote tulichelewa ? Shabani chiboko hahaha!
 
Kama ni kweli utafanyaje?!
Kama sio kweli utafanyaje?!

Mi namjua Shabani alihamiaga shuleni kwetu darasa la nne...miaka 12 sijui na tatu alikua ameshaanza mapenzi kwahiyo labda!
mimi najua mvulana mara nyingi hutembea na wasichana ambao ni wadogo kwake ki umri!! sasa kama huyu dogo alianza mambo ya malavidavi akiwa na huu umri alikuwa anafanya na kina nani? walimu au nyinyi hapo ambao mlikuwa an miaka 7 na 8?
 
Nilichosikia ni kwamba alupokuwepo kabla alikua anatoka na wakubwa wake....alivyohamia kwetu akaanza kumuandikia rafiki yangu kipenzi barua za mapenzi sisi tulikua na miaka10!!Siku tulivyogundua mwl akatukamata na ile barua ikamfikia mama yake akachapwa kwanzia siku hiyo rafiki yangu akarudi kwenye mstari maana alishaanza kubadilika!!Sijui Shabani alimdanganya nani baada ya hapo!
 
Hizi details zinanitia wasiwasi lol!
 
Back
Top Bottom