Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 119,069
- 221,751
Hii ndio Taarifa mpya ambayo imetufikia hivi Punde kutoka Mahakama ya Kisutu 3/6/2022 , Kwamba Robert Kisena wa UDART pamoja na wenzake wameachiwa huru na Mahakama na kufutiwa mashitaka yote 15 , likiwemo la kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 2.
DPP ameiambia Mahakama kwamba hana nia ya kuendelea na Mashitaka dhidi ya Ndugu Kisena na wenzake
DPP ameiambia Mahakama kwamba hana nia ya kuendelea na Mashitaka dhidi ya Ndugu Kisena na wenzake