Robert Kisena afutiwa Mashitaka yote 15, Aachiwa huru

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,277
219,514
Hii ndio Taarifa mpya ambayo imetufikia hivi Punde kutoka Mahakama ya Kisutu 3/6/2022 , Kwamba Robert Kisena wa UDART pamoja na wenzake wameachiwa huru na Mahakama na kufutiwa mashitaka yote 15 , likiwemo la kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 2.

DPP ameiambia Mahakama kwamba hana nia ya kuendelea na Mashitaka dhidi ya Ndugu Kisena na wenzake
 
Atuachie kampuni yetu au apunguze Shea zake mpaka asilimia tano.

Kampuni irudi kwa wanadaslamu
 
Amuachie Nani?Jiwe aliyekua anaitaka hayupo tena.
Kaenda na matakataka yake lakini bado kuna hili hapa
1654247917851.png
 
Back
Top Bottom