Robert Kisena afutiwa Mashitaka yote 15, Aachiwa huru

Hii ndio Taarifa mpya ambayo imetufikia hivi Punde kutoka Mahakama ya Kisutu 3/6/2022 , Kwamba Robert Kisena wa UDART pamoja na wenzake wameachiwa huru na Mahakama na kufutiwa mashitaka yote 15 , likiwemo la kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 2.

DPP ameiambia Mahakama kwamba hana nia ya kuendelea na Mashitaka dhidi ya Ndugu Kisena na wenzake
Msoga oyeee!
 
Kwamba hakuisababishia ?

Hivi Mahakama ile iliyokuwa inawashika watu ni tofauti na Mahakama hii ?

Ukisikia definition ya Banana Republic na Kangaroo Court ndio huu muendelezo..., Na kesho akija mtu tofauti huenda mwingine akashitakiwa kwa mashitaka ambayo baadae yakatenguliwa ?
 
Alafu kuna mipumbavu inachekelea eti sabaya ataoze jela kwa kesi ya uhujumu uchumi! Uchumi upi?
Subiri uone,kumbuka ameshamaliza mwaka mmoja Jela,masela Gereza la Kisongo wamemfira kabaki shimo tu matakoni,sasa hivi masela wa Gereza la Karanga Moshi nao wanafaidi takozi za Sabaya kwa kwenda mbele
 
Huyo huyo DPP anafungua kesi huyo huyo anafuta kesi.
Sasa anafungua kesi kumfurahisha nani. DPP anatofauti na CAG, CAG anatangaza wezi kama ngojera za KILA mwaka kisha Hakuna hatua yaani ni kama anasoma sala
 
Back
Top Bottom