voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,552
- 11,892
Riziwani Kikwete kwa niaba ya Baba yake!Unawafahamu walionunua UDA wewe ?
Riziwani Kikwete kwa niaba ya Baba yake!Unawafahamu walionunua UDA wewe ?
Soon nayeye atakuwa friiiAlafu kuna mipumbavu inachekelea eti sabaya ataoze jela kwa kesi ya uhujumu uchumi! Uchumi upi?
Mimi simo !!!Riziwani Kikwete kwa niaba ya Baba yake!
Baada ya hizo shares kuuzwa ilipatikana bei gani na iko kwenye akaunti ipi ?UDA haijauzwa,zimeuzwa shares za UDA, therefore, Kuna shareholders wa kampuni ya UDA
Vilikuwa ni visasi vya dikteta mpuuzi yuleHii ndio Taarifa mpya ambayo imetufikia hivi Punde kutoka Mahakama ya Kisutu 3/6/2022 , Kwamba Robert Kisena wa UDART pamoja na wenzake wameachiwa huru na Mahakama na kufutiwa mashitaka yote 15 , likiwemo la kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 2 .
DPP ameiambia Mahakama kwamba hana nia ya kuendelea na Mashitaka dhidi ya Ndugu Kisena na wenzake
Ndiyo maana alikufa alikuwa anatesa sn watuAmuachie Nani?Jiwe aliyekua anaitaka hayupo tena.
Pesa na maskini ndio huwa vinafungwa.Hii ndio Taarifa mpya ambayo imetufikia hivi Punde kutoka Mahakama ya Kisutu 3/6/2022 , Kwamba Robert Kisena wa UDART pamoja na wenzake wameachiwa huru na Mahakama na kufutiwa mashitaka yote 15 , likiwemo la kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 2 .
DPP ameiambia Mahakama kwamba hana nia ya kuendelea na Mashitaka dhidi ya Ndugu Kisena na wenzake
Yule shetani bora alikufa harakaVipi kuhusu kisima chake cha mafuta? Ama kweli ibilisi alitesa wengi.
Hajaachiwa bado ana KESI nyingineHii ndio Taarifa mpya ambayo imetufikia hivi Punde kutoka Mahakama ya Kisutu 3/6/2022 , Kwamba Robert Kisena wa UDART pamoja na wenzake wameachiwa huru na Mahakama na kufutiwa mashitaka yote 15 , likiwemo la kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 2.
DPP ameiambia Mahakama kwamba hana nia ya kuendelea na Mashitaka dhidi ya Ndugu Kisena na wenzake
Bado yupo ndani ana kesi zingine 2Hii ndio Taarifa mpya ambayo imetufikia hivi Punde kutoka Mahakama ya Kisutu 3/6/2022 , Kwamba Robert Kisena wa UDART pamoja na wenzake wameachiwa huru na Mahakama na kufutiwa mashitaka yote 15 , likiwemo la kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 2.
DPP ameiambia Mahakama kwamba hana nia ya kuendelea na Mashitaka dhidi ya Ndugu Kisena na wenzake
Tena 2
Safi; Gufool lizidi kuungua moto huko lilipoHii ndio Taarifa mpya ambayo imetufikia hivi Punde kutoka Mahakama ya Kisutu 3/6/2022 , Kwamba Robert Kisena wa UDART pamoja na wenzake wameachiwa huru na Mahakama na kufutiwa mashitaka yote 15 , likiwemo la kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 2.
DPP ameiambia Mahakama kwamba hana nia ya kuendelea na Mashitaka dhidi ya Ndugu Kisena na wenzake
Akifungwa unafaidika nini? Asipofungwa unapoteza nini?Mama anauouga mwingiii Yan Majizi yote yanaachiwa dadeki mama kumbuka Magu anakuona
Itakusaidia nini?Baada ya hizo shares kuuzwa ilipatikana bei gani na iko kwenye akaunti ipi ?
Umesahahu kama wana Dasalam ndio wamejiuzia?Atuachie kampuni yetu au apunguze Shea zake mpaka asilimia tano.
Kampuni irudi kwa wanadaslamu