Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,383
- 4,998
Ameendelea kushikiliwa kwa kesi ya uhujumu uchumi
Wenzake wote wameachiwa
Wenzake wote wameachiwa
sawaAmeendelea kushikiliwa kwa kesi ya uhujumu uchumi
Wenzake wote wameachiwa
Duh !!Riziwani Kikwete kwa niaba ya Baba yake!
Riziwani Kikwete kwa niaba ya Baba yake!
Watu na mapesa yao bana !! Enjoy life is too short anasema marioo na Yanga yake !!Msoga oyeee!
Kauli yako niya kishetani.Yule shetani bora alikufa haraka
Hapo ni due deligence tu ndo inafuatwa. Soon anarudi kwenye biashara zake.