RIP John Ngahyoma

Naamini kama angeamka hata dk tano aone hizi RIP messages angezikataa kabisa. Maana jamaa kasota pale Hospt Segerea hakuna hata mshjikaji wala jamaa wa kumuona. Alikuwa anauliza- hivi fulani yupo, hivi jamaa yangu fulani yupo, hivi yule mwandishi yupo, hivi yule dada fulani yupo. Akijibiwa kuwa wote hao wapo alikuwa anatoa machozi. '' Kila mpatapo msiba basi jifunzeni kwa hilo"

Lakini la muhimu jamani tunapokuwa wazima tujitahidi sana kujali sana familia zetu, wala tusiwanyanyase wake zetu kwa sababu ya kuwa busy na mademu wa hapa mjini, Mungu hakawii kuwalipia kisasi wanaowanyanyasa wake zao wa ujana ( Simaanishi Ngahyoma ndiyo alivyokuwa) ila mwenye macho na aone neno ambalo Roho aiambia JF leo...........................
 
RIP John. Your Tour on Physical World on Earth ndo imefikia tamati. Hatutoweza tena kukuona kwa kutumia our Physical Bodies. Asante sana kwa kazi nzuri. Binafsi nafarijika kukufahamu nami kuwa mmoja wa watu uliowafahamu. Mungu ailaze Roho yako mahali pema Peponi. Poleni sana wanafamilia.
 
Naamini kama angeamka hata dk tano aone hizi RIP messages angezikataa kabisa. Maana jamaa kasota pale Hospt Segerea hakuna hata mshjikaji wala jamaa wa kumuona. Alikuwa anauliza- hivi fulani yupo, hivi jamaa yangu fulani yupo, hivi yule mwandishi yupo, hivi yule dada fulani yupo. Akijibiwa kuwa wote hao wapo alikuwa anatoa machozi. '' Kila mpatapo msiba basi jifunzeni kwa hilo"

Lakini la muhimu jamani tunapokuwa wazima tujitahidi sana kujali sana familia zetu, wala tusiwanyanyase wake zetu kwa sababu ya kuwa busy na mademu wa hapa mjini, Mungu hakawii kuwalipia kisasi wanaowanyanyasa wake zao wa ujana ( Simaanishi Ngahyoma ndiyo alivyokuwa) ila mwenye macho na aone neno ambalo Roho aiambia JF leo...........................
Maneno Mazito sana Mkuu
 
Pole sana familia ya John Ngahyoma.

John Ngahyoma amemaliza ngwe yake hapa duniani. Jiandae, kwa kuwa hakuna ajuaye siku wala saa.
 
Naomba niende off topic kidg. Hv mtu akijawa na majipu alafu akawa anakohoa sana then anapungua kabisa yaweza kuwa kisukari? Manake swahiba wangu Ngahyoma nae mazingira haya alikuwa nayo!

mi najua jibu lake....ntaku pm
 
Pole familia ya Ngahyoma.
Leo ni mazishi ya Halima tumemalizia na kupokelewa na msiba wa John!.

Rip John Ngahyoma.
 
huyu hapama,tumepoteza mpiganaji
Ngayoma.jpg
 
Naamini kama angeamka hata dk tano aone hizi RIP messages angezikataa kabisa. Maana jamaa kasota pale Hospt Segerea hakuna hata mshjikaji wala jamaa wa kumuona. Alikuwa anauliza- hivi fulani yupo, hivi jamaa yangu fulani yupo, hivi yule mwandishi yupo, hivi yule dada fulani yupo. Akijibiwa kuwa wote hao wapo alikuwa anatoa machozi. '' Kila mpatapo msiba basi jifunzeni kwa hilo"

Lakini la muhimu jamani tunapokuwa wazima tujitahidi sana kujali sana familia zetu, wala tusiwanyanyase wake zetu kwa sababu ya kuwa busy na mademu wa hapa mjini, Mungu hakawii kuwalipia kisasi wanaowanyanyasa wake zao wa ujana ( Simaanishi Ngahyoma ndiyo alivyokuwa) ila mwenye macho na aone neno ambalo Roho aiambia JF leo...........................

mhh ahsante kwa ujumbe mzito
 
Amefariki dunia leo asubuhi nyumbani kwake jijini dar es salaam.hii ni kwa mujibu wa bbc swahili jioni hii.amefariki baada ya kuugua kwa muda mrefu.mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa kaka yake mkunguni,na anatarajiwa kuzikwa siku ya jumapili katika makaburi ya kinondoni.ameacha mjane na watoto watatu (R.I.P).mungu ailaze roho ya marehemu kwa Amani
 
naomba niende off topic kidg. Hv mtu akijawa na majipu alafu akawa anakohoa sana then anapungua kabisa yaweza kuwa kisukari? Manake swahiba wangu ngahyoma nae mazingira haya alikuwa nayo!

wacha bwana!!!!
Kwahiyo we unataka
kutuambiaje?
 
Back
Top Bottom