RIP John Ngahyoma

Mara ya mwisho kumuona likuwa Michenzani Zenj,Miaka ileeee,

Mungu ailaze mahala pema peponi.!!!!
 
Wanajamvi mwandishi mkongwe aliyewai kutangaza katika vituo ya radio tanzania,itv na bbc John ngayoma amefariki dunia leo asubui.source power jam ya east africa redio.
 
Naomba niende off topic kidg. Hv mtu akijawa na majipu alafu akawa anakohoa sana then anapungua kabisa yaweza kuwa kisukari? Manake swahiba wangu Ngahyoma nae mazingira haya alikuwa nayo!
 
Apumzike kwa amani,maana safari ya duniani kaimaliza.Poleni wafiwa wote muwe na subira wkt huu mgumu sana.
 
Poleni familia ya John Ngahyoma, ndugu, jamaa na marafiki.
Mungu mtoa faraja ya kweli, na awafariji nyote.
 
Naomba niende off topic kidg. Hv mtu akijawa na majipu alafu akawa anakohoa sana then anapungua kabisa yaweza kuwa kisukari? Manake swahiba wangu Ngahyoma nae mazingira haya alikuwa nayo!

wewe unadhani itakua nini? Haijalishi ufe kwa malaria au kisukari. Kifo ni kifu na binadamu yoyote lazima kimkute. Kikubwa kumuombea.
 
Back
Top Bottom