RIP John Ngahyoma

dah! Ukfkiria sana Mungu na kaz zake, waweza kuwa muasi wa ukuu wake....R.I.P ndugu ye2. Mungu kakupenda zaidi.
 
Nipigo jingine kwa Tasnia ya Habari Tanzania baada ya siku moja tu tangu kufariki kwa mwana dada Halima Mchuka wa TBC leo hii tumepokea tena taarifa za kifo cha Nguli mwingine wa Habari John Ngahyoma wa BBC.
 
Mwanandishi wa habari wa siku nyingi john ngayoma afariki dunia leo tarehe 30/12/2011.
Sorce tbc beaaking news ya saa nne na susu.
 
RIP John, poleni sana wafiwa, mungu awajalie nguvu na ustahimilivu katika kipindi hichi kigumu. BWANA ALITOA, BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE. AMEN
 
Lala kwa AMANI ya Bwana John Ngyahoma!

Bwana ametoa na Bwana ametwaa!

Jina la na lihimidiwe!!
_____________________________
 
Back
Top Bottom