BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,164
huwezi juq thamani yq ulichonacho mpaka ukipoteze....mpe pole huyo mwanamke, ila dah na nyie majirani wapana mpaka mnajuamambo ya nyumba za wenzenu....
huwezi juq thamani yq ulichonacho mpaka ukipoteze....mpe pole huyo mwanamke, ila dah na nyie majirani wapana mpaka mnajuamambo ya nyumba za wenzenu....
My take: What goes around comes around..........
kuna wanawake wamekosa adabu kwenye ndoa zao jamani ...wewe acha tu
siku mbili analala nje analala wapi?
na huyo mwanaume ana moyo jamani
k imekwidwa siku mbili huko nje ikirudi bado anaililia?
kuna wanaume wavumilivu jamani!
na huyo mwanaume siku zote alikuwa anawaza nini?Hapo sasa unalala nje halafu asubuhi unarudi mimacho mikavuuuu hata haya hana
he,kumbe tuko wengi?
Sio lazima ubebe laptop Asprin Ipad zinafanyakazi 24/7 mbona waniangusha tumeondoka around 0612am ameamka lakini hajapata nguvu sana
DA mnaishi wapi huko kuna chief taking care of the people's personal affairs, lol
Mie mtu akifanyiwa revenge huwa nachekelea. Mpe pole yangu huyo mama. Sasa ndo atahangaika na moyo wa jamaa ushatulia.
Hapo sasa unalala nje halafu asubuhi unarudi mimacho mikavuuuu hata haya hana
sio bure huyo jamaa alikuwa zuzu kwa kweliNaona hiyo blue imehusika sana maana naona kuna ka ukweli
sio bure huyo jamaa alikuwa zuzu kwa kweli
Keshapata wa kumtoa uzuzu sasa, mama analo hilo, ndo keshaambiwa wako wawili, mbona atazimia sana mwaka huu