hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,829
nimeona michelle anataka kuuwa upinzani wa jinsia, dah! kwa kuanzia nazani tumpatieni michelle yule mrembo alomleta cheusimangala wakaprektis kama itawork
sasa nani ata act baba?
nimeona michelle anataka kuuwa upinzani wa jinsia, dah! kwa kuanzia nazani tumpatieni michelle yule mrembo alomleta cheusimangala wakaprektis kama itawork
babu una nata na beat ile mbaya
hahahahh lol
hata usijaribu dear..
sasa utarudi kwenye yale ya TF ..
Kugomba na You Tube hahahah lol
hii si sawa na marathon ya panya na chui dear
hahahhaah lol
duuuh mbona imebadilika gafla dear..
Nilidhani ya kwako ndo ile ulio iweka mwanzoni..
Au ndo ini tena dear??
michelle atajibu hii million dollar kweshen.sasa nani ata act baba?
nimeona michelle anataka kuuwa upinzani wa jinsia, dah! kwa kuanzia nazani tumpatieni michelle yule mrembo alomleta cheusimangala wakaprektis kama itawork
Think Hash think lazima Michelle awe mama lol!sasa nani ata act baba?
michelle atajibu hii million dollar kweshen.
ile ilikua ya kwako ya kwako. Hujasoma vizuri. Ila naona photocopy ilikosea ndoo maana umeirekebisha. Hii ndo original yangu. Lol
nilitaka kukutumia video ya youtube lakini imegoma aisee lol
duuuhh sio photocopy to dear..
Na dhani hata hizo data ni wrong
kwani mie sikufanya test yeyote mwaka jana dear..
Si wajua nilizidisha dozi ya klorokwin wakaniweka
ndani mwaka mzima ...lol
nilitaka kukutumia video ya youtube lakini imegoma aisee lol
Think Hash think lazima Michelle awe mama lol!
hivi ze fainest si nimeskia kaweka bondi laptop kwa chupa ya bia? dah! sizani kama tutamuona tena JF huyu jamaa,duuuhh nadhani nia yako ya kuishinda
internet inaanza kufanya kazi dear...
na kikubwa zaidi
unamsaidia TF kupindua you tube hahhaah lol
Rudi nyuma kidogo utaelewa.ina maana hili halikuwa wazi hahahah lol:twitch::twitch:
hahahaha,
maana hata leo naona umeandaliwa dozi kutosha ,
nakushauri uwe makini , achana na klorokwini, tumia panado
hahahaha,
maana hata leo naona umeandaliwa dozi kutosha ,
nakushauri uwe makini , achana na klorokwini, tumia panado
hivi ze fainest si nimeskia kaweka bondi laptop kwa chupa ya bia? dah! sizani kama tutamuona tena JF huyu jamaa,
sku ile youtube walikomplein , walisema video zao kama 50 hivi zilipotea ndani ya sekunde 20 katika mazingira ya kutatanisha. nazani microsoft ilibidi waingilie kati kusuluhisha baina ya youtube na JF.Ile kutoka ki-Youtube ina copiraiti kama loya unafahamu nadhani lol! tafuta mbinu nyingine.