Repoti yako ya mwaka 2010 imetoka!!!

hahahahh lol
hata usijaribu dear..
sasa utarudi kwenye yale ya TF ..
Kugomba na You Tube hahahah lol
hii si sawa na marathon ya panya na chui dear
hahahhaah lol

heheeh acha panya nipotee bana. nalog out, hutaki kuniambia i love u?
 
duuuh mbona imebadilika gafla dear..
Nilidhani ya kwako ndo ile ulio iweka mwanzoni..
Au ndo ini tena dear??

ile ilikua ya kwako ya kwako. Hujasoma vizuri. Ila naona photocopy ilikosea ndoo maana umeirekebisha. Hii ndo original yangu. Lol
 
ile ilikua ya kwako ya kwako. Hujasoma vizuri. Ila naona photocopy ilikosea ndoo maana umeirekebisha. Hii ndo original yangu. Lol

duuuhh sio photocopy to dear..
na dhani hata hizo data ni wrong
kwani mie sikufanya test yeyote mwaka jana dear..

si wajua nilizidisha dozi ya Klorokwin wakaniweka
ndani mwaka mzima ...lol
 
duuuhh sio photocopy to dear..
Na dhani hata hizo data ni wrong
kwani mie sikufanya test yeyote mwaka jana dear..

Si wajua nilizidisha dozi ya klorokwin wakaniweka
ndani mwaka mzima ...lol

hahahaha,
maana hata leo naona umeandaliwa dozi kutosha ,
nakushauri uwe makini , achana na klorokwini, tumia panado
 
duuuhh nadhani nia yako ya kuishinda
internet inaanza kufanya kazi dear...

na kikubwa zaidi
unamsaidia TF kupindua you tube hahhaah lol
hivi ze fainest si nimeskia kaweka bondi laptop kwa chupa ya bia? dah! sizani kama tutamuona tena JF huyu jamaa,
 
hahahaha,
maana hata leo naona umeandaliwa dozi kutosha ,
nakushauri uwe makini , achana na klorokwini, tumia panado

mmmhhh wewe
hukusikia panadol ina uwa?

afadhali hata Klorokwin inakupa tu kichaa kwa mwaka
hahhahahhh lol
 
hivi ze fainest si nimeskia kaweka bondi laptop kwa chupa ya bia? dah! sizani kama tutamuona tena JF huyu jamaa,

mmmhhh embu acha hayo maneno dear..
na mie ntabakia na nani ??

mmmhh mie bado namuhitaji sana
naogopa kwa mpweke..
na ninahitaji blanket langu usiku dear.
haahah lol
 
Ile kutoka ki-Youtube ina copiraiti kama loya unafahamu nadhani lol! tafuta mbinu nyingine.
sku ile youtube walikomplein , walisema video zao kama 50 hivi zilipotea ndani ya sekunde 20 katika mazingira ya kutatanisha. nazani microsoft ilibidi waingilie kati kusuluhisha baina ya youtube na JF.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom