Hapo uongo ni nini? Huwaoni huko bungeni maprofesa wanavyotia aibu?
Mtu kuwa na elimu ya Phd si uhakika wa kuwa na big thinking capacity. Ni sawa na waendao shule kuna wanaofaidika baada ya kuhitimu na wengine wanaishia kupata vyeti vya kuhitimu bila kunufaika na elimu, ingawa inasaidia kupanua wigo wa kufikiri. Ila ninachoshangaa wenye PHD kushindwa kutema cheche wakati elimu ya PHD vyuoni ni ya mfumo wa ushindani wa kujenga hoja.
Ukiona baadhi waliopitia elimu ya vidatu na diploma unaona wana big thinking capacity waliyopata katika masomo yao ya fasihi kuliko waliopitia huko kwenye PHD na tesis zao. Nashangaa ni rhytoric gani walikuwa wanasomea huko ukilinganisha na pumba wazotoa. Afadhali ya fasihi ya diploma na bachela waliyopata toka english composition and effective speaking kuliko rhytorics ya phd. Kabla ya kujiunga na graduate college nilifikiri kama wengi wanavyodhani, kumbe nimegundua inategemeana na mtu na wengine wanamaliza kwenye makaratasi na wanapotoka nje ya chuo kila walichosoma kimeishia ndani ya majengo ya chuo.
Ukisoma historia ya wagunduzi wengi kama akina Thomas Edson mvumbuzi wa bulb za umeme kwa mfano tu hawakuwa na PHD ila elimu ya kawaida tu.
Mh.Regia Mtema mbunge wa viti maalum wa CHADEMA wakati akijadili hotuba ya Rais katika kipaumbele cha Elimu amezungumzia kushuka kwa elimu nchini Tanzania.
Akitoa mfano wa kushuka kwa elimu amedanganya kwa kusema eti hakuna tofauti kati ya mtu mwenye PhD na mwenye digrii ya kwanza katika 'thinking capacity'.
Nawasilisha..
Wadau hili la mh Regia Mtema si la kujadili kijujuu tu you need to go deeper, ila alichokosea ni kusema hizo phd anazofananisha na first degree ni zipi? mimi nakubaliana na yeye kuna hizi PHD za online za kina Nchimbi, zingine za common wealth, unakutana na mtu anajiita DR eti ana Phd jenga hoja anaanza ohhh ahaaaa unajua anaongea maneno elfu pumba tupu hata mtoto wa sekondari anaweza kujenga hoja kuzidi huyo phd <img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/msela.gif" border="0" alt="" title="Msela" smilieid="334" class="inlineimg" />hata baadhi ya maprofesa feki wengine wako bungeni Hivi huyu Magembe ni profesa wa madudu gani?Mh.Regia Mtema mbunge wa viti maalum wa CHADEMA wakati akijadili hotuba ya Rais katika kipaumbele cha Elimu amezungumzia kushuka kwa elimu nchini Tanzania.
Akitoa mfano wa kushuka kwa elimu amedanganya kwa kusema eti hakuna tofauti kati ya mtu mwenye PhD na mwenye digrii ya kwanza katika 'thinking capacity'
Nawasilisha..
Manufaa ya kwenda full time shuleni si kupata knowledge ya vitabu tu; PhD is more than books....hata ile how to argue/discuss with your promoter ni part ya impartation ya Phylosophy ya PhD....Kuwa subjected under harsh and stressfull environment ukaweza ku persavere na yet to come up with a thesis is the quality ambayo huwezi kuipata mtaani au kazini....Uliza waliopitia PhD wakwambie what it means na ni mara chache sana PhD material from reputable university akawa na argument zisizoeleweka; ukiona hivyo tafuta aliko soma....Something should be wrong with the institution na siyo PhD kama qualification.
Mh.Regia Mtema mbunge wa viti maalum wa CHADEMA wakati akijadili hotuba ya Rais katika kipaumbele cha Elimu amezungumzia kushuka kwa elimu nchini Tanzania.
Akitoa mfano wa kushuka kwa elimu amedanganya kwa kusema eti hakuna tofauti kati ya mtu mwenye PhD na mwenye digrii ya kwanza katika 'thinking capacity'.
Nawasilisha..
Na muunga mkono Regia kwa asilimia kubwa.Wasomi tumekuwa wasomi uchwara.Tuko radhi kupokea vijihela kidogo na ku-forego taaluma zetu. Hata wengi tumeingia bungeni in search of cheap money lakini output hakuna.Bunge limekuwa kichekesho tu kwa wananchi kuliko hata wakati ule ambapo wasomi waliheshimu taaluma zao.Kwanza kuto kuheshimu taaluma yako kwenyewe kunaonyesha kwamba your thinking capacity is low.Sasa conclusion ni nini,thinking capacity ya Ph.D.holders wa leo haina tofauti na mwenye degree moja.In fact it can be even lower.Tumeshindwa kabisa to show the way.

Bungeni watu wanasapoti itikadi na Ilani za vyama vyao na sio kutoa maoni kulingana na uelewa wa degree au phd zao.Hivyo kutolea mfano wa yanayoongelewa bungeni kuhalalisha kauli ya Regia mi naona mnakosea sana.Regia amekosea na aombe msamaha
wewe ndiyo unaidanganya JF ...Mh. Regia Mtema amesema sasa hivi kiwango cha elimu kimeshuka na imekuwa kama vile aliyekua na elimu ya PHD akawa sawa na elimu digree kwa ubora wa elimu