Regia adai kiwango cha elimu kimeshuka; PhD bungeni sawa na BA?

Huyu mbunge inabidi apelekwe shule haraka sana. Haelewi maana ya kiwango cha elimu kushuka, references zake bila shaka ni Kiu, ijumaa and the like.
 
Hapo uongo ni nini? Huwaoni huko bungeni maprofesa wanavyotia aibu?

Kwa hiyo hata Slaa ni sawa na Slaa (BA). Du! kweli jambo likifanywa na watu fulani litatetewa kwa gharama yeyote. Huu usimba na Uyanga hauwezi kutupeleka popote ktk nchi hii. Tutabaki kudefend nani kasema na sio kasema nini!!!!!! Kweli hii ni Tz zaidi ya uijuavyo.
 
Mi nawashangaa watanzania kwa kuchongaaa.

Jamani alisema kwa maoni yake na mtazamo wake? Nyie kelele za nini? Kama mna PHD, PROF si zenu zitabaki kuwa zenu? Na thinking capacity ni ya kwenu? Kwani kabadilisha hizo elimu zenu? Si zinabaki?

Kama hamjui au mnajua kufikiri ye hayamhusu, hayampunguzii wala kumuongezea ubunge ila cha msingi tumieni usomi wenu kuleta maendeleo si kuandika mapaper tu na kuishia universities libraries hata zisizokuwa na effect kwa nchi yetu. Ni aibu kwa msomi kushindwa kujieleza na mtu wa darasa la saba. Nenda vyuoni sasa kawatazame wanafunzi, hata behaviour zao utashangaa, ni wasomi kweli, waweza jiuliza waliingiaje chuoni?

Beleive me wakati nilikuwa nasoma masters chuo kimoja hapahapa bongo, nilishangazwa na baadhi ya mates zangu hawawezi hata kubrowse kutafuta material kwenye mtandao, nikajiuliza undegraduate walisomaje? ni mwendo wa vitabu tu nilishangaa mpaka basi, na wamesoma mlimani..

Jaribu tu nenda usome ze so called dissertation au thesis ndo utajua, au soma term paper u will not believe. nilishangaa pia watu wazima wamasters wanaingia na majibu(nondo, wengine huita mkeka, wengine mig) masters student kwa test tu ya maksi 10 was very shocked. na bado hizo thesis watu wanafanyiwa from a to z ye kazi yake kusubmit at the end of the day ana graduate, sometimes with honour, a masters holder!! very fantastick. Sina mengi ila ukweli utabaki kuwa ukweli, elimu ya Tanzania imeshuka kiwango cha kutisha, tubadilishe mfumo wetu wa elimu.

Big up PHD na PRF holders wa SUA nyie ni wa zamani na mmesoma nje, mlituandaa na kutufunza vema!!
 
Mtu kuwa na elimu ya Phd si uhakika wa kuwa na big thinking capacity. Ni sawa na waendao shule kuna wanaofaidika baada ya kuhitimu na wengine wanaishia kupata vyeti vya kuhitimu bila kunufaika na elimu, ingawa inasaidia kupanua wigo wa kufikiri. Ila ninachoshangaa wenye PHD kushindwa kutema cheche wakati elimu ya PHD vyuoni ni ya mfumo wa ushindani wa kujenga hoja.
Ukiona baadhi waliopitia elimu ya vidatu na diploma unaona wana big thinking capacity waliyopata katika masomo yao ya fasihi kuliko waliopitia huko kwenye PHD na tesis zao. Nashangaa ni rhytoric gani walikuwa wanasomea huko ukilinganisha na pumba wazotoa. Afadhali ya fasihi ya diploma na bachela waliyopata toka english composition and effective speaking kuliko rhytorics ya phd. Kabla ya kujiunga na graduate college nilifikiri kama wengi wanavyodhani, kumbe nimegundua inategemeana na mtu na wengine wanamaliza kwenye makaratasi na wanapotoka nje ya chuo kila walichosoma kimeishia ndani ya majengo ya chuo.

Ukisoma historia ya wagunduzi wengi kama akina Thomas Edson mvumbuzi wa bulb za umeme kwa mfano tu hawakuwa na PHD ila elimu ya kawaida tu.

Wanasiasa wengi tu hapa nchini wana PHD za kupata kwa njia ya biashara toka Marekani kama tulivyojadili siku zilizopita. Sasa hao wanasiasa unafikiri wana elimu ya kweli ya PHD ya kujenga hoja zenye big thinking capacity kama za wale waliopitia mfumo wa graduate college wa kujenga hoja kifalsafa na kimantiki?
Ndio matokeo unaona tunaishia kupindisha sheria kwa sababu ya kushindwa nguvu ya hoja na kutumia hoja ya nguvu kama njia mbadala ya kujinusuru.
 
Mh.Regia Mtema mbunge wa viti maalum wa CHADEMA wakati akijadili hotuba ya Rais katika kipaumbele cha Elimu amezungumzia kushuka kwa elimu nchini Tanzania.

Akitoa mfano wa kushuka kwa elimu amedanganya kwa kusema eti hakuna tofauti kati ya mtu mwenye PhD na mwenye digrii ya kwanza katika 'thinking capacity'.

Nawasilisha..

Wadau hili la mh Regia Mtema si la kujadili kijujuu tu you need to go deeper, ila alichokosea ni kusema hizo phd anazofananisha na first degree ni zipi? mimi nakubaliana na yeye kuna hizi PHD za online za kina Nchimbi, zingine za common wealth, unakutana na mtu anajiita DR eti ana Phd jenga hoja anaanza ohhh ahaaaa unajua anaongea maneno elfu pumba tupu hata mtoto wa sekondari anaweza kujenga hoja kuzidi huyo phd :msela:hata baadhi ya maprofesa feki wengine wako bungeni Hivi huyu Magembe ni profesa wa madudu gani?
 
TUNATAKA MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA TUME HURU
YA UCHAGUZI BUNGENI SASA HIVI!!!

Enyi Ndugu Waheshimiwa viongozi wetu

akina Kikwete, Dr Slaa, Prof Lipumba, Mbowe, Julius Mtatiro, Zitto Kabwe, Mbatia, Dr Mvungi, Prof Baregu, Prof Mukandala, Dr Bana, Dr Azaveli, Mama Nkya, Ndg Mgaya, Makwaia wa Kuhenga, Jenerali Ulimwengu, Reginald Mengi, Pius Msekwa, Fredrick Sumaye Fredrick Msuya, John Malecela, Mama Anna Makinda, Sheik Issa Bin Simba, Mhe Iddi Simba, Maaskofu na Wachungaji wote nchini, Denis Mwamnyange, Said Mwema, The Othma's, Tundu Lissu, Sitta, Mwakyembe, Mzee Mkapa, Mzee Salim Ahmed Salim, Mzee Sinde Warioba, Mzee Butiku, Prof Sarungi, Selasini, Ole Sendeka, Tido Mhando, Mama Maria Nyerere, Mama Karume, Selelii, Prof Bangu, Dr Matumaini, Bashe, Celina Kombani, Kafulila, Hamad Rashid, Regia, Lukuvi, Mama Maghimbi,Mama Anna Abdala, Pombe Magufuli, Mstaarabu wa Siasa Tanzania - Dr Mohammed Shein, Salmin Amour, Godbless Lema, Mzee Mwanakijiji, Maxence Melo, Candid Scope, Fareed, Mwakalebela, Mnyika, Halima Mdee, viongozi wote wa serikali za wanafunzi vyuoni ... na wengine wengi wengi wengi tu, sisi kama vijana wa nchi hii sasa hivi tunawaulizeni nyote kwa pamoja kwamba ...

... suala letu la michakato wa kujiandikia KATIBA MPYA na kuunda Tume Huru ya Uchaguzi ZINAANZA LINI BUNGENI???
 
Mh.Regia Mtema mbunge wa viti maalum wa CHADEMA wakati akijadili hotuba ya Rais katika kipaumbele cha Elimu amezungumzia kushuka kwa elimu nchini Tanzania.

Akitoa mfano wa kushuka kwa elimu amedanganya kwa kusema eti hakuna tofauti kati ya mtu mwenye PhD na mwenye digrii ya kwanza katika 'thinking capacity'
Nawasilisha..
Wadau hili la mh Regia Mtema si la kujadili kijujuu tu you need to go deeper, ila alichokosea ni kusema hizo phd anazofananisha na first degree ni zipi? mimi nakubaliana na yeye kuna hizi PHD za online za kina Nchimbi, zingine za common wealth, unakutana na mtu anajiita DR eti ana Phd jenga hoja anaanza ohhh ahaaaa unajua anaongea maneno elfu pumba tupu hata mtoto wa sekondari anaweza kujenga hoja kuzidi huyo phd <img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/msela.gif" border="0" alt="" title="Msela" smilieid="334" class="inlineimg" />hata baadhi ya maprofesa feki wengine wako bungeni Hivi huyu Magembe ni profesa wa madudu gani?

Hakuongelea PhD feki bali aliongelea PhD.Aombe radhi.
 
Manufaa ya kwenda full time shuleni si kupata knowledge ya vitabu tu; PhD is more than books....hata ile how to argue/discuss with your promoter ni part ya impartation ya Phylosophy ya PhD....Kuwa subjected under harsh and stressfull environment ukaweza ku persavere na yet to come up with a thesis is the quality ambayo huwezi kuipata mtaani au kazini....Uliza waliopitia PhD wakwambie what it means na ni mara chache sana PhD material from reputable university akawa na argument zisizoeleweka; ukiona hivyo tafuta aliko soma....Something should be wrong with the institution na siyo PhD kama qualification.

WAAMBIE DADA....WAAMBIE HAO KINA REGIA &CO. inaelekea hawajui!
 
Mh.Regia Mtema mbunge wa viti maalum wa CHADEMA wakati akijadili hotuba ya Rais katika kipaumbele cha Elimu amezungumzia kushuka kwa elimu nchini Tanzania.

Akitoa mfano wa kushuka kwa elimu amedanganya kwa kusema eti hakuna tofauti kati ya mtu mwenye PhD na mwenye digrii ya kwanza katika 'thinking capacity'.

Nawasilisha..

Na muunga mkono Regia kwa asilimia kubwa.Wasomi tumekuwa wasomi uchwara.Tuko radhi kupokea vijihela kidogo na ku-forego taaluma zetu. Hata wengi tumeingia bungeni in search of cheap money lakini output hakuna.Bunge limekuwa kichekesho tu kwa wananchi kuliko hata wakati ule ambapo wasomi waliheshimu taaluma zao.Kwanza kuto kuheshimu taaluma yako kwenyewe kunaonyesha kwamba your thinking capacity is low.Sasa conclusion ni nini,thinking capacity ya Ph.D.holders wa leo haina tofauti na mwenye degree moja.In fact it can be even lower.Tumeshindwa kabisa to show the way.
 
Simuungi mkono Regia na aombe radhi.
 
Mh.Regia Mtema mbunge wa viti maalum wa CHADEMA wakati akijadili hotuba ya Rais katika kipaumbele cha Elimu amezungumzia kushuka kwa elimu nchini Tanzania.

Akitoa mfano wa kushuka kwa elimu amedanganya kwa kusema eti hakuna tofauti kati ya mtu mwenye PhD na mwenye digrii ya kwanza katika 'thinking capacity'.

Nawasilisha..

Namuunga mkono dada Regia. sasa hapa tz, wenye PHD wengi ndio watendaji wabovu, wanavuruga nchi kuliko hata wale walio na BA pekee, na hata tukumbuke enzi za utawala wa Nyerere, hakukuwa na wenye PHD lukuki kama wa sasa ila elimu ilikuwa super, ya juu na utendaji ambao wengi walikuwa na BA pekee au diploma tuu na wengine middle-school ila walionyesha ufanisi sana.

Mifano hai ya jinsi PHD za watawala wa sasa zimekuwa muflis na kushusha hata kiwango cha elimu ya tanzania ni kama ifuatavyo:-
* PHD ya Kapuya alipopewa wizara ya elimu, ndio mtu aliyeanza kuvuruga mitaala, dira na wanafunzi kufeli
* Kawambwa ni ZERO
* DR Ndalichako- NECTA ni aibu
* nk,.aibu
 
Bungeni watu wanasapoti itikadi na Ilani za vyama vyao na sio kutoa maoni kulingana na uelewa wa degree au phd zao.Hivyo kutolea mfano wa yanayoongelewa bungeni kuhalalisha kauli ya Regia mi naona mnakosea sana.Regia amekosea na aombe msamaha
 
Ni kweli Regia amekosea na aombe msamaha.Watu wanatakiwa waache ushabiki wa chama kutetea ujinga.
 
wewe ndiyo unaidanganya JF ...Mh. Regia Mtema amesema sasa hivi kiwango cha elimu kimeshuka na imekuwa kama vile aliyekua na elimu ya PHD akawa sawa na elimu digree kwa ubora wa elimu

Nionavyo mimi Uelewa wa watu umepungua sansana kiasi cha kushindwa kumjua aliye soma mpaka degree 3 na moja.
 
Bungeni watu wanasapoti itikadi na Ilani za vyama vyao na sio kutoa maoni kulingana na uelewa wa degree au phd zao.Hivyo kutolea mfano wa yanayoongelewa bungeni kuhalalisha kauli ya Regia mi naona mnakosea sana.Regia amekosea na aombe msamaha

Ni kweli Regia amekosea na aombe msamaha.Watu wanatakiwa waache ushabiki wa chama kutetea ujinga.
 
Na muunga mkono Regia kwa asilimia kubwa.Wasomi tumekuwa wasomi uchwara.Tuko radhi kupokea vijihela kidogo na ku-forego taaluma zetu. Hata wengi tumeingia bungeni in search of cheap money lakini output hakuna.Bunge limekuwa kichekesho tu kwa wananchi kuliko hata wakati ule ambapo wasomi waliheshimu taaluma zao.Kwanza kuto kuheshimu taaluma yako kwenyewe kunaonyesha kwamba your thinking capacity is low.Sasa conclusion ni nini,thinking capacity ya Ph.D.holders wa leo haina tofauti na mwenye degree moja.In fact it can be even lower.Tumeshindwa kabisa to show the way.

Kuna ka ukweli fulani hapa!
 
Back
Top Bottom