Redio E-Fm wanapika data kujiongezea ubora, ukweli ni huu

Wenye akili zao wanajua wazi kwamba EFM inaendeshwa ki-propaganda! Mwanzoni walianza kutembeleea nyota ya Lady Jay Dee hadi pale ilipokuja kufahamika kwamba Jide hausiki!

Wakati wanatembelea nyota ya Jide ilikuwa ni kipindi cha beef kati ya Jide na Clouds... beef ambalo Sugu nae akaingia kati! Kwahiyo haters woooooote wa Clouds, wakaanza ku-support "radio ya Kamanda Jide...!" aliyekuwa anapata support toka kwa Kamanda Sugu! Siasa za EFM hapa ndipo zilianzia! Wale wanaojifanya hawasikilizi Clouds (lakini utashangaa leo mtu anahoji "yaani hadi leo unasikiliza Clouds" baada ya siku mbili tatu huyo huyo anaanzisha mada ya kuponda mtangazaji fulani katika kipindi cha Clouds... mtu unashangaa kamsikiaje wakati hasikilizi Clouds) ndio wakaanza kuwa wapiga kelele in favor EFM!!!

Inabidi uwe ni yule jamaa mmoja katika wanne ndipo uweze kuamini EFM ina wasikilizaji wengi kuliko Clouds!!!!!
Mkuu hawa wafuasi wa E fm ni kama mwanamke anae sema anakuchukia kumbe moyoni anakupenda.
 
Ila naikubali sana strategy ya E fm kujilinganisha na Clouds, its working. Haiwezekani radio inayo sikika nchi nzima,ukilinganisha na redio inayo sikika kwenye vitongoji
 
1477505766261.jpg
 
Kama E Fm wameweza kukamata wasikilizaji wengi hivyo ndani ya muda mfupi (3yrs) tangia kuanzishwa kwake, nadhani kuna kila sababu kusema kuwa wanaongoza maana clouds imeanzishwa mwaka 1998, 18 yrs kwenye business na wamesambaa nchi nzima lakini wana wasikilizaj milion 1 tu.. Sasa Efm ina listeners hao kwa Dar es Salaam, wakienda mikoani itakuwaje
 
Habri wanaJF,

Redio ya E-Fm imekuwa ikitoa taarifa ambazo sasa zimethibitika kuwa ni za kupikwa zinazoonyesha kuwa wao ndio wanawasikilizaji wengi kuliko vyombo vingine kwa jiji la Dar es Salaam.

Hatukatai watu wa E-Fm wanafanya sana kazi. Sasa wajuvi wa mambo wamezama ndani na kuibuka na ukweli wenyewe;

Na kwa wasiojua Geopoll ndo watoaji wakuu wa takwimu za Radio na Tv nchi nyingi Africa. Kwa Tanzania ndio watoaji pekee

Hii ni taarifa ya kupikwa ya E-Fm Redio,



Na hizi ndio data za kutoka kwenye source za ndani,

View attachment 424074
View attachment 424138
View attachment 424139

Taarifa hizi ni Kwa msaada wa Ukurasa wa Twitter wa Ndugu: @salim_alkhasas
Wangesema mawaingu wanawasikilizaji wengi hapa bongo povu lisingekutoka embu tuondolee unaliu......wako hapa!!
 
Back
Top Bottom