Red Lingerie

...ha ha ha! afrodenzi acha hizo. Hiyo pink itakuwa 'Magenta, fuchsia, au deep pink' bana!
Yellow will make me puke! huh!!!...
solarplexus_undies.jpg



hahahahahah lol
daaahh umenichekesha kwa kweli
unavituko wewe
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
zoe-saldana-sexy-latina-red-dress-star-trek-lossip.jpg


Mhhhhh! AD umekiona kifaa hiki? Kinafanana na ile nguo yako ya harusi :)....Kapendeza kweli kweli!
 
Mhhhhh! AD umekiona kifaa hiki? Kinafanana na ile nguo yako ya harusi :)....Kapendeza kweli kweli!
[/QUOTE]
Hiyo siku AD alimeremeta kwelikwali basi.....
 
sio kila kidume kinapenda red

mimi my favourite ni white......

rangi nyingine iwe light hivi

mfano pink,cream n.k...

red inampendeza mwanamke mweupe...
mwanamke mweusi bora white au light pink.....

hizi rangi inategemeana na usafi wa mtu.....

mwingine ukimpa nyeusi au dark blue utajuuuuta......lol

afro which is ur favourite color?
Hata mimi mwanamke akivaa nyeupe napenda sana.
 
hahahah lol
booking a table for two next weekend lol

Usijali tena ... nikija kukuchukuwa mlangoni .. nakukufungulia mlango wa ile Mercedes benzi yangu... utasikia nyimbo hii

 
Last edited by a moderator:
Umeniajiri utajaza
RED kila kona
kwanza kesho
napiga mini dress nyekundu kazini (funga macho) hahahha lol

...duuhh, una rewind siku ya Valentines nini? LOL...
Anyway,...kila la heri in turning 'blue Monday!' into a Red-Hot one!
 
Hiyo siku AD alimeremeta kwelikwali basi.....[/QUOTE]

hahahahahahah lol
mwambie BAK akueleze vizuri lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
...duuhh, una rewind siku ya Valentines nini? LOL...
Anyway,...kila la heri in turning 'blue Monday!' into a Red-Hot one!

Good memories hahah lol
wish every day is Valentine lol
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom