Red Lingerie

Ila ni color ambayo watu hawashauriwi kuvaa kwenye interviews au any important official/business meetings. Sikumbuki sababu but I always take it that way. Sivai red kwenye interviews na kwenye mikutano ya maana ya kibiahsara/kiofisi.[/QUOTE]YAH red iko ki-out zaidi na kwenye faragha ingawa mi siifagilii kiviiile. ofcoz in parties red is arlight lakini si kwa sehem penye serios discussion.in LINGERIE cpendi red kabisa!
 
itapendeza kama wadada leo mtatuambia

mmevaa rangi ipi,na ipi ni favourite kwenu.....

haya afrodenzi anza.........

Wasiishie hapo tu watwambie kama kuna mwanamke asiye na nguo nyekundu :A S 39:
 
Niwatoeni kwenye mstari kidogo,kwa wapenzi wa michezo jiulizeni ni rangi gani ya jezi inavaliwa zaidi na timu zenye mafanikio duniani?
 
ladies and Gentleman

leo nimeamua kuuliza kuhusu hii rangi..
kwanini au nini kinawafanya (wanaume)wapende red
utakuta mtu unaenda shopping na partner wako yeye
anakuchangulia nguo nyekundu especially kama ni Lingerie
inamaana hamjui rangi nyingine au?? vipi kuhusu yellow, purple, pink, blue etc
Makubwa haya!wakati unachaguliwa wewe huwa upo wapi si useme hutaki hiyo rangi?ila mimi rangi hiyo nina mzio nayo ni bora ninunue rangi nyingine sio RED
 
ah! mi sijui hata napenda rangi gani.....
labda white..No, nyekundu..NO, njano, kijani au blue bahari... NO.. AAH mi sijui:frusty:
 
Makubwa haya!wakati unachaguliwa wewe huwa upo wapi si useme hutaki hiyo rangi?ila mimi rangi hiyo nina mzio nayo ni bora ninunue rangi nyingine sio RED
Kuna makubwa gani sasa hapo
nimesema unachaguliwa si kusema Una
nunuliwa...
 
Niwatoeni kwenye mstari kidogo,kwa wapenzi wa michezo jiulizeni ni rangi gani ya jezi inavaliwa zaidi na timu zenye mafanikio duniani?

Hivi ni rangi ya ndizi au hahahah lol
mmhh labda bahari dahhh
Nadhani moto khaaa
I quit mchezo wako mgumu. ...

Kama ni rugby Black all the way lol
 
ah! mi sijui hata napenda rangi gani.....
labda white..No, nyekundu..NO, njano, kijani au blue bahari... NO.. AAH mi sijui:frusty:
Hahahah lol
mie hiyo avatar yako ndo
nimeipenda.. ni BP baadaye ntakusaidia
kutafuta rangi uipendayo lol
 
lakini kwa jinsi navyojua mimi,
wadada wengi wanapenda white ati,
katika 10 waweza kuta 8 wamevaa white...............

Bacha nakuunga mkono
Lakini kuna kitu kuhuusu red
Ambacho mmmhhh is just too special lol
 
Hahahah lol
mie hiyo avatar yako ndo
nimeipenda.. ni BP baadaye ntakusaidia
kutafuta rangi uipendayo lol

LOL nitashuru maana pia kutofautisha rangi kwenyewe kunanishinda hasa blue na kijani, pink na puple hapo sijuagi kabisaaaaaaa.. ila nyeusi na nyeupe no p
 
Back
Top Bottom