- Thread starter
- #21
Mara 100% uwe na mahusiano ya kimapenzi na bamedi kuliko mwanafunzi wa chuo anayekaa hostel.
Mzee umenigusa sana yaani
Mara 100% uwe na mahusiano ya kimapenzi na bamedi kuliko mwanafunzi wa chuo anayekaa hostel.
Mara mia kupiga puchu kuliko kusaka mademu, kugharamika na kupata ngoma
Mara 100% uwe na mahusiano ya kimapenzi na bamedi kuliko mwanafunzi wa chuo anayekaa hostel.
Umetendwa na dada zetu nini? Hawa noma.
Mara 100 kushina na njaa mchana kuliko usiku kukosa kwenda baa jioni.
Yan jamaa kaja na ubunifu wa hatariMkuu umefikiria nini?
Yan jamaa kaja na ubunifu wa hatari
Dah Mara mia Nikafanye kazi Loliondo kwa babu kuliko kufanya kazi dar.....
Hahahahaaaa ila kaka ni kweli dar pazuri ila maisha magum sana,unaendaga pale Kilwa road Bar au ? teh Karibu kwa babu ujiachie na maisha safiiiiiiiii ingawa wachawi wanataka kumzingua babuha ha ha ha.... Thanx broda, Ila mimeckia raia wanapendekeza babu afilisiwe maana alizungua tu kupata mahela... Duh, ila dar noma, yan mshahara unahudumia mafuta na vitu vidogo sana a.k.a huwezi kuwa tajiri
Naendaga kunywa bia kurasini maeneo ya ufundi kwaasababu ni bukubuku na nahitaj kunywa nyingi, gharama ya kuzifata hizo bia ni 1200, 300 kwenda na kurudi from kariakoo so 600, mia tatu nyingine ni from kariakoo to ufundi.. Kwenda na kurudi
Mara 100% uwe na mahusiano ya kimapenzi na bamedi kuliko mwanafunzi wa chuo anayekaa hostel.
hahahaha..unamatani makalimara buku kumchungulia mkeo kuliko kuchunguliwa ukikata gogo........
Hiyo tunasema mara mia kupiga madesa kuliko kujsubmit kwa lecture.10.Mara mia kukaa kimya kulilko kucopy na kupaste,halafu kujifanya umetoa mpya..
11.mara mia kudisco chuo kuliko kupata cheti kwa kumhonga prof chini..
Hiyo tunasema mara mia kupiga madesa kuliko kujsubmit kwa lecture.
mara buku kumchungulia mkeo kuliko kuchunguliwa ukikata gogo........