Re: Mara 100

Mara mia kupiga puchu kuliko kusaka mademu, kugharamika na kupata ngoma
 
Why compare yourself with others? You are creating your own suffering.

Reflect and think....
 
Yan jamaa kaja na ubunifu wa hatari
Dah Mara mia Nikafanye kazi Loliondo kwa babu kuliko kufanya kazi dar.....

ha ha ha ha.... Thanx broda, Ila mimeckia raia wanapendekeza babu afilisiwe maana alizungua tu kupata mahela... Duh, ila dar noma, yan mshahara unahudumia mafuta na vitu vidogo sana a.k.a huwezi kuwa tajiri
Naendaga kunywa bia kurasini maeneo ya ufundi kwaasababu ni bukubuku na nahitaj kunywa nyingi, gharama ya kuzifata hizo bia ni 1200, 300 kwenda na kurudi from kariakoo so 600, mia tatu nyingine ni from kariakoo to ufundi.. Kwenda na kurudi
 
Hahahahaaaa ila kaka ni kweli dar pazuri ila maisha magum sana,unaendaga pale Kilwa road Bar au ? teh Karibu kwa babu ujiachie na maisha safiiiiiiiii ingawa wachawi wanataka kumzingua babu
 
Mara mia kutooa kuliko kuoa mke anaye kugeuza wewe ATM!!
x5QyJ7smBS0AAAAASUVORK5CYII=
 
1. Mara mia uwe masikini bongo kuliko tajiri mtoni ukiwa shoga.
2. Mara mia uamini kuwa Mungu yupo na usimkute, kuliko kuamini hayupo na ukamkuta.
3. Mara mia nishabikie Wigan kuliko Man U.
 
10.Mara mia kukaa kimya kulilko kucopy na kupaste,halafu kujifanya umetoa mpya..
11.mara mia kudisco chuo kuliko kupata cheti kwa kumhonga prof chini..
Hiyo tunasema mara mia kupiga madesa kuliko kujsubmit kwa lecture.
 
1. mara mia niwe single kuliko kuwa na mwanaume ambaye hajui wajibu wake kwangu.
 
mara 100 kuvuta nyota kuliko kunywa castle light
mara 100 kutembea na miguu kuliko foleni za buguruni
100 kua hujui kuliko HUJUI then hujui kama hujui?

MARA 100 nishabikie KILIMANJARO BOYS ILA USIWE SHABIKI WA TIMU YOYOTE YA NJE
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom