Re: Mara 100

Wambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
557
319
1. Mara mia upigwe vibao polisi kuliko kupigwa virungu.

2. Mara mia utumie Nokia ya tochi kuliko simu ya kichina.

3. Mara mia tuongozwe na Slaa kuliko huyu.

4. Mara mia ujikojolee kuliko kujinyea.

5. Mara mia ujitupe ghorofan ukifumaniwa na mke wa mtu kuliko kuingiliwa kinyume na maumbile na mijibaba ya miraba minne (mnakumbuka skendo ya chamilion arusha)

6. Mara mia uoe mke mbumbu kuliko aliyesoma

7. Mara mia kujenga house au kufanya biashara kuliko kununua gari kwa mkopo wa kwanza benki.

8. Mara mia kunywa bia asubuhi kuliko chai ya rangi.

9. Mara mia kutizama comedi ya ch 10 kuliko Orijino comedi ya TBC.

Wanajamii naomba tuendelee hapo
 
Hiyo namba 7 mkuu,ni bora ujenge nyumba kwa mkopo wa benki kuliko kununua gari na kwenda kulipaki kwa mwanaume mwenzio huko uliko panga
 
Mara mia kuwa mpagani kuliko kujifanya umeokoka kumbe unavizia watoto chachi
Mara mia mkumuacha demu mwenye tabia mbaya kuliko kuvumilia ukisema atachenji.
Mara mia kuoa malaya kuliko bikra
 
1. Mara mia upigwe vibao polisi kuliko kupigwa virungu.

2. Mara mia utumie Nokia ya tochi kuliko simu ya kichina.

3. Mara mia tuongozwe na Slaa kuliko huyu.

4. Mara mia ujikojolee kuliko kujinyea.

5. Mara mia ujitupe ghorofan ukifumaniwa na mke wa mtu kuliko kuingiliwa kinyume na maumbile na mijibaba ya miraba minne (mnakumbuka skendo ya chamilion arusha)

6. Mara mia uoe mke mbumbu kuliko aliyesoma

7. Mara mia kujenga house au kufanya biashara kuliko kununua gari kwa mkopo wa kwanza benki.

8. Mara mia kunywa bia asubuhi kuliko chai ya rangi.

9. Mara mia kutizama comedi ya ch 10 kuliko Orijino comedi ya TBC.

Wanajamii naomba tuendelee hapo

Hapo kwenye red..Tena iwe castle lite ya baridi na k.moto

10.Mara mia kutumia kibatari kuliko umeme wa TANESCO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom