Rayvanny, mrithi wa Ngwea kwenye freestyle

Hapana siijui, mkuu embu nidarasishe iyo Hip hop unayoijua ww
sasa stamina na Ray vanny yupi anayejua hapo"Hip Hop,..
Acha mikurupuo iyo mwananchi",...!!

Sio mikurupuko mkuu,kumleta rayvany kwa uzi unaohusiana na Hiphop Ni kosa kubwa Sana maana hata wengine ulio jaribu wafananisha Na wana Hiphop hawafanani Na Hiphop

"Dunia Tambara bovu Ila nalidekia kwa shida,maisha Ni magumu Na solve bila kutumia four figure" stamina hiyo kwako Ni Hiphop ??sijataka ongelea rayvany kwakua sihitaji hata kufahamu anachofanya maana hakipo kwenye misingi hata ya nguzo moja ya Hiphop .
 
Matusi makubwa haya! rayvanny umfananishe na Ngwea? watoto mnaujua uwezo wa Ngwea lakini?
 
Ngwear?

Acha kufananisha almasi na jiwe wewe.
Huyu Dogo aingii hata chembe kwa cowboy.

He is best of all the time in this country.

Rgds
Uduzungwa
 
achene unafiki au kwa vile ngwea amekufa ndo mnajitia kumpaisha, jamaa anaweza na ndio mrithi wa ngwea msisubiri mpaka mtu afe ndo mumsifie!
 
Hakuna kama nikk mbishi kwa freestyle bongo lufunyo ilikuwa ni nyota tu but mbishi is illiest aseeh
 
achene unafiki au kwa vile ngwea amekufa ndo mnajitia kumpaisha, jamaa anaweza na ndio mrithi wa ngwea msisubiri mpaka mtu afe ndo mumsifie!
Mangwea alikuwa anaweza kufreestyle but alikuwa not genius wa freestyle kama alivyo nikk au lufunyo. Sema sijawahi shuhudia battle ya Mangwea na nikk ila ya mkiristo na Mangwea nilishawahi.

Mbishi is next level..anasimama kwenye topic..anaicontrol beat sio hadi ukaisample tena ndiyo usikilizishe watu...then anaweza kutumia vilivyomzunguka sio kutajataja majina ya watu na miji kama baadhi wafanyavyo
 
Yan unathubutu kusema akina Fid Q wakasome? Nyie wasafi sijui mnawazaga nini
 
Hii post ni tusi zito sana kwa marehemu Albert Mangwea. Na pia ni kuwakosea heshima vijana wa Tamaduni muziki kwa upande wa mitindo huru na kucheza na maneno
Tamaduni wapo vizuri but kinachowaponza ni kushikiria misingi. Wanalishana chuki dhidi ya wadau wa muziki.
 
Tatizo lenu ni kutaka kumlinganisha au kumshindanisha na watu wengine...muacheni afanye mziki wake kama ana kipaji basi kitaonekana

haya mambo ya kumlinganisha na fulani ndio yanatengeneza uadui.Bado kijana mdogo ajafanya ngoma yoyote ya Rap ila ushaanza kumlinganisha na legends kama Fareed na late Ngwea ambao ni watu walioweka misingi ya mziki huo anaofanya
Zinatafutwa team hapa.
 
Hivi lufunyo ni producer au artist.
Huyu alikuwa konda wa haice sjui yupo wapi siku hizi mkuu.....but yale mashindano ya clouds ya freestyle jamaa alichukua . Alimbattle mbishi mbele ya fetty
 
Back
Top Bottom