Utoaji wa Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) 2022/2023

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Tuzo zinazotolewa muda huu kupitia UTV wapo live mgeni rasmi ni Mh, waziri balozi Pindi Chana.

====

Wasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hiphop​

  1. Kalajeremiah
  2. Bill_nass
  3. Countrywizzy_tz
  4. FidQ
  5. JohMakini

Wanaowania Tuzo Ya Mwanamuziki Bora Wa Kiume 2022​

  1. Marioo
  2. Harmonize
  3. Dulla Makabila
  4. Ali Kiba
  5. Ray Vanny

Video Bora Ya Mwaka​

  1. Te Quiero – Rayvanny
  2. Deka – Harmonize_tz
  3. Mwambieni – Zuchu
  4. Pita Huku – Dullamakabila
  5. Dear Ex – Marioo

Albam Bora Ya Mwaka​

  1. The Kid You Know – Marioo
  2. Made For Us – Harmonize
  3. Love Sounds Different – Barnabaclassic
  4. Street Ties – Conboi
  5. Romantic EP – Kusah

Wimbo Bora Wa Mwaka Bongo Flava​

  1. Dear Ex – Marioo
  2. Dunia – Harmonize
  3. Upo Nyonyo – Phina
  4. Kwikwi – Zuchu
  5. Tamu – Barnabaclassic

Mwanamuziki Bora Wa Kiume Bongo Flava​

  1. Marioo
  2. Harmonize
  3. Princedullysykes
  4. Mbosso
  5. Alikiba

Mwana Muziki Bora Wa Kike Bongo Flava​

  1. Shilole
  2. Nandy
  3. Zuchu
  4. Rubyafrica
  5. Malkiakaren

Wimbo Bora Wa Hip Hipo​

  1. Mbave – Trixy_tonic
  2. Blue Print – Rosa_ree
  3. New Material – Chemical_tz
  4. Tanzanite – Johmakinitz
  5. Kumbuka – Kalajeremiah

Wimbo Bora Wa Mwaka​

  1. Pita Huku – Dullamakabila
  2. Nitaubeba – Harmonize
  3. Nakupenda – Jaymelody
  4. Kwikwi – Zuchu
  5. Mwamba – Rayvanny

Muongozaji Bora Wa Video Za Muziki​

  1. Mapepo – Director Pozzer
  2. Tunagombania Nini – Ochu Sheggy
  3. Yanabomoka – Nassoro
  4. In Love – Lummy
  5. Freestyle – Kelly Film

Kolabo Bora Ya Mwaka​

  1. Sayuni – Barnaba & Joellwaga
  2. Champion – Kontawa & Harmonize
  3. Naogopa – Marioo & Harmonize
  4. Demu Wangu – Mejakunta & Mabantu
  5. Nitongoze – Ray & Diamond

Washindi Tuzo Za Muziki Tanzania Vipengele Vyote​

  • Tuzo ya Wimbo Bora wa mwaka imenyakuliwa na @Realjaymelody kupitia ngoma yake ya #Nakupenda
  • Msanii Bora wa Kiume (Bongo Fleva) kwa mwaka 2022. Mbosso Khan
  • Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kike Hip Hop, imekwenda kwa Rosa Ree
  • Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kiume Hip Hop, imekwenda kwa Bill Nass
  • Msanii Bora Chipukizi wa Mwaka, tuzo imekwenda kwa Kontawa
  • Tuzo ya Wimbo Bora wa kushirikiana imekwenda kwa Rayvanny akimshirikisha Diamond Platnumz kupitia ngoma yao ya Nitongeze
  • Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kiume Chaguo la Watu katika Jukwaa la Kidigitali, Mshindi ni Diamond Platnumz
  • Mtayarishaji Bora wa muziki “Bongo Fleva” tuzo imekwenda kwa Abbah Process.
  • Mtayarishaji Bora wa Muziki (Hip Hop) – S2Kizzy
  • Tuzo ya Mtumbuizaji Bora wa Kike imekwenda kwa Mwanamuziki Phina Tz
  • Wimbo Bora wa Singeli 2022, tuzo imekwenda kwa Dulla Makabila akiokota tuzo yake ya pili usiku huu kupitia wimbo wake wa “Pita Huku”
  • Mshindi katika kipengele cha Mtumbuizaji Bora wa Mwaka Ni Dulla Makabila
  • Mtumbuizaji bora wa kiume kwa mwaka 2022 kwenye msimu wa pili wa tuzo za muziki nchini, Chino Kid
  • Mtumbuizaji bora wa kike kwa mwaka 2022 kwenye msimu wa pili wa tuzo za muziki nchini, ni Angel Nyigu

Full List Of Winners​

  • Best Female Upcoming Musician – Gachi – Winner
  • Best Male Upcoming Musician – Kontawa – Winner
  • Best Female Dancer – Angel Nyigu – Winner
  • Best Male Dancer – Chinno Kid – Winner
  • Best Male Traditional Singer – Awilo Kidumu – Winner
  • Best Female Traditional Singer – Elizabeth Malinganya – Winner
  • Best Manager – D Fighter – Winner
  • Best Female Taarab Singer – Sabaha Muchacho – Winner
  • Best Male Taarab Singer – Hassan Doko – Winner
  • Best Music Composer – Abdul Felesh – Winner
  • Best Taarab Song Of The Year – Sabaha Muchacho – Winner
  • Best Female Performer – Phina – Winner
  • Best Male Perfomer – Sholo Mwamba – Winner
  • Best Singeli Producer – Kenny Touch – Winner
  • Best Hip Hop Producer – S2kizzy – Winner
  • Best Singer Southern Africa – Costa Titch – Winner
  • Best Singer Eastern Africa – Khaligraph Jones – Winner
  • Best Singer Westen Africa – Kizz Daniel – Winner
  • Best Female Singeli Musician – Mimah – Winner
  • Best Male Singeli Musician – Dulla Makabila – Winner
  • Best Singeli Song – Pita Huku – Winner
  • Best Collaboration Song Outside Tanzania – Superwoman – Phina Ft Otile Brown- Winner
  • Best Male Dj – Dj Ally B – Winner
  • Best Female Dj – Dj Mammy – Winner
  • Best Female Viewer’s Choice Digital – Zuchu – Winner
  • Best Male Viewer’s Choice Digital – Diamonf Platnumz – Winner
Tma

BEST MALE BONGO FLAVA ARTIST

  • Amelowa – Harmonize
  • Huyu hapa – Mbosso – WINNER
  • Do Do – Dully Sykes
  • Naogopa – Marioo ft. Harmonize
  • Asali – Ali Kiba

BEST FEMALE BONGO FLEVA ARTIST

  • Sitaki Mazoea – Shilole
  • Siwezi – Nandy
  • Kwikwi – Zuchu – WINNER
  • Tai Chi – Ruby
  • Nishazoea – Malkia Karen

BEST MALE HIP HOP ARTIST

  • Kumbuka -Kala Jeremiah
  • Puuh – Billnass ft. Jaymelody – WINNER
  • One Call Away – Country Wizzy
  • Tawile – Fid Q ft. Rich Mavoko
  • Tanzanite – Joh Makini ft. Jay Rox

BEST FEMALE HIP HOP ARTIST

  • Witirialdo – Witness Kibonge Mwepesi
  • Bibi Titi Vol. 1 – Trixy Tonic
  • Hapa – Ge2
  • New Material – Chemical
  • Blue Print – Rosa Ree – WINNER

BEST HIP HOP SONG

  • Blue Print – Rosa Ree – WINNER
  • New Material – Chemical
  • Tanzanite – Joh Makini
  • Mbabe – Trixy Tonic
  • Kumbuka – Kala Jeremiah

BEST MALE ARTIST

  • Ali Kiba
  • Rayvanny
  • Harmonize – WINNERS
  • Marioo
  • Dulla Makabila

BEST FEMALE ARTIST

  • Zuchu – WINNER
  • Nandy
  • Trixy Tronix
  • Chemical

ALBUM OF THE YEAR

  • The Kid You Know – Marioo
  • Made For Us – Harmonize
  • Love Sounds Different – Barnaba – WINNER
  • Street Ties – Conboi Cannabino
  • Romantic EP – Kusah

SONG OF THE YEAR

  • Pita Huku – Dulla Makabila
  • Nitaubeba – Harmonize
  • Nakupenda – Jay Melody – WINNER
  • Kwikwi – Zuchu
  • Mwamba – Rayvanny

VIDEO OF THE YEAR

  • Te Quiero – Rayvanny
  • Deka – Harmonize
  • Mwambieni – Zuchu –WINNER
  • Pita Huku – Dulla Makabila
  • Dear Ex – Marioo

BEST VIDEO DIRECTOR NO WINNER

  • Mapepo – Director Pozzer
  • Tunagombania Nini – Ochu Sheggy
  • Yanabomoka – Nassoro
  • In Love – Lummy
  • Freestyle – Kelly Film

BEST BONGO FLEVA MUSIC PRODUCER

  • S2kizzy
  • Abbah Process – WINNER
  • Nusder
  • Mesen Selekta
  • Kassumpa Machati

COLLABORATION OF THE YEAR

  • Sayuni – Barnaba Classic ft Joel Lwaga
  • Champion – Kontawa ft. Harmonize
  • Naogopa – Marioo ft Harmonize
  • Demu Wangu – Meja Kunta ft Mabantu
  • Nitongoze – Rayvanny ft. Diamond Platnumz – WINNER

WCB watakata tuzo za TMA, wakiondoka na tuzo saba​


By Emmanuel Msabaha
Mwandishi wa habari

Dar es Salaam. Lebo ya muziki ya Wasafi (WCB) usiku wa kuamkia Aprili 30, 2023 katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) imeng’ara kwa kupata tuzo saba katika vipengele tofauti ambavyo wasanii wake walishiriki.

Akizungumza baada ya kupokea baadhi ya tuzo kwa niaba ya wasanii wa lebo hiyo, Meneja wa wasanii hao ambaye pia ni Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale amesema amefurahi kuona wasanii wake wamefanya vizuri katika tuzo hizo huku akijinadi yote hiyo ni kutokana na uongozi bora ambao Wasafi wamekua nao.
“Nafurahi kuona wasanii wangu wanaendelea kufanya vizuri nah ii inasababishwa na uongozi mzuri ambao upo katika lebo,”amesema.


Baadhi ya tuzo zilizobebwa na wasanii wa lebo hiyo ni pamoja na; mwanamuziki bora ya wa mwaka kwa upande wa wanawake ambayo ameshinda Zuchu, video bora ya mwaka (Zuchu), nyimbo bora ya mwaka kwa wasanii wakike Bongo Fleva (Zuchu) huku Mbosso akiondoka na tuzo ya msanii bora wa Bongo Fleva kwa upande wa wanaume naye Diamond amechukua tuzo ya msanii bora wa kiume ambaye ni chaguo la watu katika jukwaa la kidigitali.

Katika washindi wa tuzo hizo hakuna lebo nyingine ya muziki ambayo ilibeba tuzo nyingi kuizidi Wasafi katika hafla hiyo iliyofanyika ukumbi wa Super Dome Masaki jijini Dar es Salaam.

Aidha, Kwa upande wa tuzo maalumu zimekwenda kwa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (Tasuba) ,Taasisi ya Sauti za Busara Zanzibar, Clouds media group na Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).
 
Mge
Tuzo zinazotolewa muda huu kupitia UTV wapo live mgeni rasmi ni Mh, waziri balozi Pindi Chana
Ye ndo alitangaza majina ya wawania Tuzo na ndio mgeni rasmi hapa ni Kazi sana... Nilivyoona waziri antangaza majina ya wawania Tuzo nikajiuliza vipi atajialika kuwa mgeni rasmi?? Na kweli kajialika... Next time utangazi na mchkato wote waachie basata.. we omba maelezo
 
Sasa katika wale waliolalamika nani alikua na ngoma zenye rhymes kali kuzidi afande!?
Sijajua unajaribu kuleta kitu gani....kama unaujua mziki wa hip hop by that time jamaa alistaili kwa kipengele kile na hakuna anayebisha juu ya hilo...ila tunaporudi kwenye awards kwa maana ya awards zile hazikua awards. Hapa mjadala ni awards za TMA.
 
Sasa katika wale waliolalamika nani alikua na ngoma zenye rhymes kali kuzidi afande!?
Sijajua unajaribu kuleta kitu gani....kama unaujua mziki wa hip hop by that time jamaa alistaili kwa kipengele kile na hakuna anayebisha juu ya hilo...ila tunaporudi kwenye awards kwa maana ya awards zile hazikua awards. Hapa mjadala ni awards za TMA.
 
Back
Top Bottom