Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,681
- 1,698
Hii ni ramani au karatasi iliyochorwa na mtoto wa darasa la pili? Sina imani na huu ujinga.
Msije mkasema mimi ninakinyongo na msimamo wa serikali. Nimeona ramani hii inayoonyesha mipaka ya ziwa nyasa. Sasa nashindwa kujua ugumu unatokea wapi wakati kumbe mambo yako wazi kabisa.
Imetoka blog ya Mjengwa