MZALENDOWAKWELIKWELI
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 329
- 210
Jamani haiwezekni nchimoja ichukue maji yote halafu wananchi wa nchi jirani wasipatemaji hivyo wakitaka maji waende kununua njeyanchi haiwezekeni hata ukimuuliza mtoto mdogo nilazima maji tugwane katikati w0te tunywemaji kwani wamewekwa na m/mungu hayakuwekwa na wamalawi unanisoma mtoa mada?.
Uko sahihi Mkuu, cha kushangaza upande wa Msumbiji na Malawi mpaka upo katikati, I really wonder why the same didn't happen upande wa TZ....huu ni undezi kabisa.....utetezi unaotolewa hauna mashiko....Tukomae....