Je, ziwa Nyasa limetwaliwa na Malawi kinamna?

IJIGHA NDIO HOME

JF-Expert Member
Jul 13, 2019
748
771
Salama zenu ndugu zangu,

Katika pitapita yangu mitandaoni nikaingia wikipedia nilitaka nitafute nchi ya Malawi nifahamu vizur sasà chakushangaza nimeona wameweka ramani ya Malawi nikiangalia upande was ziwa Nyasa nimekuta halipo wameandika ziwa Malawi ule mstari wa katikati haupo sasa nimejuliza sijaelewa
Screenshot_20200107-080507.jpeg
Screenshot_20200107-080417.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zanzibar ikija kujitenga na muungano watadai dar es salam na kisiwa cha mafia ni Mali yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawawezi kudai kwa sababu Mjerumani alimlipa Sultani Duestch Mark 2,000,000 kulipia zile maili kumi za mwambao wa pwani ya Tanganyika. Sehemu ambayo Sultan anaweza kudai ni mwambao wa Kenya maana kisheria bado ni mali ya Zanzibar. Kwa huku kwetu Sultan hana chake.
 
Ila hili ziwa halina manufaa kwetu jamii zinazolizunguka hilo ziwa ni watu wa tofauti/wavivu sana na washirikina, kuogelea haitakiwi kwa wageni, hapo Mbambabay samaki kwa mgeni gharama sana na wachache mno, ni ziwa la dagaa tu nko Mbinga ni bora kununua sato kutoka Mwanza au Perege kutoka Mtela ni bei rahisi na wanapatikana kirahisi kuliko hao wa Nyasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom