Rais Wenu anaweza hii?

Msisahau pia kuwa Rais wetu alitoka jeshini akiwa na cheo cha Luteni Kanali,hivyo si vyema kumsema vibaya na kuonyesha kuwa hawezi kitu wakati si kweli.Ni wangapi walioshindwa kufikia ngazi hiyo ndani ya jeshi ?
 
mtoto mdogo sana wewe! nikutafute kwa lipi? i post my comment, umejifanya unajua sjui ulikuwa secretary wa jeshi by that tym! au ndo umesimuliwa kijiweni! anywaz wagombanao ndo wapendanao! nafurahi kukujua! nice to meet you here! yaishe rafki yangu
cheerz!!!!!!!!! brother markj kuna mahali inafikia usipende kutanguliza makwazo kwa mtu hasa ukilenga watu hawa aise lazima uambulie matusi 1.baba 2.mama usimtukanie mtu, mzazi wa mtu halinganishwa na chochote. hizi huku jf sometimes ni siasa tuuu tena za majitaka.:welcome:
 
Last edited by a moderator:
Akili zako siku zote ni Mgando. Hufikiri kwingine maana ndo uwezo wako ulipoishia

Mkuki kwa nguruwe, kwa binaadam mchungu!

Kikwete kacheza baketball katika maisha yake, Jee, slaa kacheza mchezo gani, kuna mtu ananambia "mdako".
 
putin_exercising.jpg







abc_wn_putin_nt_110607_ssh.jpg


Vladimir_Putin_and_Koni-6.jpg



Vladimir-Putin-Harley-thumb-415x299-9772_width_600x.jpeg


a6670fdb-10cd-46ff-a5f2-21bed35e57d2_width_600x.jpeg



putin-2_width_600x.jpeg



CHEKI MKUU PUTINI WA URUSI

Komandoo nitafutie Kiranga

:D
 
Last edited by a moderator:
Dhaifuuuuu!!!

Kiongozi wa nchi hata kama ni dhaifu anstahili heshima. Hampashwi kumdharau kiasi hicho it is not fair. This man is running a country's issues ni kazi ngumu hata wewe huwezi.
Mpeni nafasi na anastahili heshima jamani. Amekubalika mbele za Mungu mtake msitake.
 
Kiongozi wa nchi hata kama ni dhaifu anstahili heshima. Hampashwi kumdharau kiasi hicho it is not fair. This man is running a country's issues ni kazi ngumu hata wewe huwezi.
Mpeni nafasi na anastahili heshima jamani. Amekubalika mbele za Mungu mtake msitake.]

Mungu yupi amemkubali mkuu! mbona unaleta hadithi za abunuasi kaka......
 
Wetu ana michezo yake maalum ya viwanja maalumu na idadi maalum ya wachezaji (Mchezaji mmoja wa timu pinzani)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom