Rais Wenu anaweza hii?

yoyote aliyepitia jeshini kipindi hicho ni lazma alifanya michezo mbalimbali! wakati wao wanasoma pia kulikuwa na mashindano haswaa ya michezo mbalimbali! sidhani kama eti hajui kitu! bali ni umri kwa sasa na majukumu ya nchi yetu hasa kwa rais kufanywa yy ndo kila kitu,ivyo kuna mnyima uhuru mwingi! nchi kama marekani haya ni mambo ya kawaida kwa kuwa kuwa watu wanatambua wajibu wao wa kazi! hivyo sasa mtu kama obama akiwa yuko michezoni system zingine za kazi zinaendelea kama kawaida! kwa mf:usalama,uduma za afya zote zitakuwa safi tu kwa wananchi! BUT hapa mtu kama kikwete akitoka tu hata kidogo kwenda kutazama mechi taifa basi ujue system zingine zote za kazi zinafeli mana wakuu wa polisi wote watakuwa huko,usalama wote huko, madoctor wazuri wote huko! wapambe wa vyama hukoo! maprotocal officer wote hukoo! watu wa ikulu wote hukoo! kwa upande wetu sisi wabongo tulivyo wanafiki nasi tutasema rais anacheza wakati madr na walimu wamegoma na maneno meengi nk!
nani kakuambia alimaliza jeshi wewe kupitia jeshini sio hija tatizo je alimaliza jeshini jibu ni hapana umbea ulimkimbiza kale kabarua ka umbea alikokaandika nakukafikisha kwa nyerere kakarudishwa monduli alitokea mlango wa nyma akakimbia in short hakumaliza so hajui vitu hivyo
 
nani kakuambia alimaliza jeshi wewe kupitia jeshini sio hija tatizo je alimaliza jeshini jibu ni hapana umbea ulimkimbiza kale kabarua ka umbea alikokaandika nakukafikisha kwa nyerere kakarudishwa monduli alitokea mlango wa nyma akakimbia in short hakumaliza so hajui vitu hivyo

lakini alipitia jeshi? mimi sijazungumzia kumaliza nimezungumzia kupitia! ki ukweli hivi anaweza kufanya sema tu unafiki na majungu na chuki zetu! vipi wewe baba yako anaweza?
 
lakini alipitia jeshi? mimi sijazungumzia kumaliza nimezungumzia kupitia! ki ukweli hivi anaweza kufanya sema tu unafiki na majungu na chuki zetu! vipi wewe baba yako anaweza?
mada inamzungumzia baba yangu au dhaifu we bwg nini,
 
akili zako siku zote ni mgando. Hufikiri kwingine maana ndo uwezo wako ulipoishia
umesahau kwenye ule uzi wa tathmini alikuwa anatupastia majedwali yake ,bila kujua thamani ya 0000 huyo nilimshusha thamani ni wale watu wanaoshabikia mambo bila kujua limeanzia wapi.
 
putin_exercising.jpg







abc_wn_putin_nt_110607_ssh.jpg


Vladimir_Putin_and_Koni-6.jpg



Vladimir-Putin-Harley-thumb-415x299-9772_width_600x.jpeg


a6670fdb-10cd-46ff-a5f2-21bed35e57d2_width_600x.jpeg



putin-2_width_600x.jpeg



CHEKI MKUU PUTINI WA URUSI
 
Akiwezeshwa ataweza, umeona wapi basket ball is preffered sports in TZ.
hee na wewe umetokea wap?? akiwezeshwa atafanya nin??? labda akiwezeshwa kwenda kutalii nje ndo ataweza!! hopelesssss...
 
Wamarekani wengi wanaweza kucheza basketball; watanzania wengi wanaweza kucheza ...
 
Nyiye.....yaani Rais nae aruke hamjui kuwa anakula maharage na mayai?......mchezo wake huu hapa na hauhitaji kurukaruka

sampuli%2Bya%2Bbao%2Balilokabidhiwa%2Bmama%2Bsalma%2Bkikwete.JPG
 
we kibudu kama mimi nimeoza usinitafutie ban wewe

mtoto mdogo sana wewe! nikutafute kwa lipi? i post my comment, umejifanya unajua sjui ulikuwa secretary wa jeshi by that tym! au ndo umesimuliwa kijiweni! anywaz wagombanao ndo wapendanao! nafurahi kukujua! nice to meet you here! yaishe rafki yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom