Rais wa jf

nguli naona umeweka avatar umekata kifua,sema nikuweke kitengo gani.ila iwe ulinzi

mpwa huyu mtayarishe wizara itakayodili na maandamano maana soon life ya tanzania itageuka kama misri na kijana namjua yuko fiti tangu kule jeshini oljoro
 
siku ile nilikuambia niwe mfuta vumbi ukakataa
sasa mie ndo mwanamke wa kwanza utajibeba
sijui kama jina lak litakuwepo
ngoja tukalale sasa hivi ili nianze kukuharibia

Mimi bahati nzuri tayari nina wizara yangu. Ambayo ni wizara ya upuuzi na mipango ya ghafla ghafla. Nasubiri kuapishwa tu.
 
mpwa huyu mtayarishe wizara itakayodili na maandamano maana soon life ya tanzania itageuka kama misri na kijana namjua yuko fiti tangu kule jeshini oljoro
mkuu anafaa chance ya juu kitaifa,ila uwe unamkanya na kumwelekeza kijana.
 
siku ile nilikuambia niwe mfuta vumbi ukakataa
sasa mie ndo mwanamke wa kwanza utajibeba
sijui kama jina lak litakuwepo
ngoja tukalale sasa hivi ili nianze kukuharibia

mpwa ulale wapi mapema saa hizi ushavua gamba letu la kijani nini???we ntakupa wizara za dharura na emergency
 
siku ile nilikuambia niwe mfuta vumbi ukakataa
sasa mie ndo mwanamke wa kwanza utajibeba
sijui kama jina lak litakuwepo
ngoja tukalale sasa hivi ili nianze kukuharibia
Kongosho we unaona tumpe Kadakabikile wizara gani,ila asifanye kama mtaji
 
basi awe bosi wa manyota nyota

mpwa huyu mtayarishe wizara itakayodili na maandamano maana soon life ya tanzania itageuka kama misri na kijana namjua yuko fiti tangu kule jeshini oljoro
 
Mkiona gamba kwenye list mniambie tulivue kwa msemeno
 
Nguli naona umeweka avatar umekata kifua,sema nikuweke kitengo gani.ila iwe ulinzi

Nime miss aina hizi za thread tulikuwa tunazifaidi sana 2009 na early 2010. Umeifanya xmass yangu iende vizuri. Creative thread na umenifurahisha zaidi pale uliko mpa Mwita25 wizara ya maji taka, hahahah.

Mimi japo niko ki sport zaidi ningefurahi kama mngeniweka wizara ya elimu. Sijui watoto siku hizi wana silabasi gani inaweza kuwa mseto. Hakuna extra curriculum activities tena.
 
Sport au elimu nitakuweka ila usianze ulaji
 
Excellent Wizara ya michezo inalipa kweli?
Labda nifanye biashara ya visa za dili.
 
lol ila utafahamiana na wachezaji wenye majina na vingilio ya viwanjani mtakula sana.
 
Mi sina sura ya kuuza na wachezaji nataka kujaza acc ya bank bana.

Nwy ntakua naomba mialiko ya kupeleka wachezaji nje alafu nauza visa kwa wasio wachezaji.
 
haya niambie wizara unayotaka ila isiwe mambo ya nje mana wenye bifu utawabania kwenda nje
 
Back
Top Bottom