Rais wa jf

Canta utakuwa umesome wapi iyo kazi? Merry Xmas!:A S-coffee:

Hahahaha,habari yako big shem,nimesoma university of magogon nikifa nimemeja kwenye handbags handling lol!nipigie debe shem nipate hiyo kazi niweze hata kuwatoa cku moja na sisy wangu!wapi hiyo kaunta ya juu nn,mpe hi babu yangu!
 
wewe nakupa kazi ya maombi katika misafara yangu yote

na mwaname wa kwanza mmempata

Asavali,heshima yako mwanamke wa kwanza,nashukuru kwa nafac hiyo kwan kiu yangu ilikuwa kuwa kwenye msafara wa rahic na kwa nafac hiyo nitakuwamo nashukuru kwan nitahakikisha msafara utakuwa umejaa upako wa kutosha wakati wote lol!
 
Mi sina sura ya kuuza na wachezaji nataka kujaza acc ya bank bana.

Nwy ntakua naomba mialiko ya kupeleka wachezaji nje alafu nauza visa kwa wasio wachezaji.
Lizzy upo kweli,umepotea mnoooooo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom