Rais wa jf

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,223
Invisible anafaa ila kugombea urasi anakataa/
labda utumishi wa umma ndo Utamfaa/
akiwa mambo ya ndani ndo balaa/
wengi lazima ban watakataa/
J.Mushi na Feedback kateni rufaa/
Waberoya huna chama nadhani hutafaa/
Klorokwini anafaa upande wa sheria/
Ila Paw ushindi kashajitangazia/
PakaJimmy ushindi kote wanamkubalia/
Ushindi bado na hatima tutafikia/
Rejeo akiwa rais JF nalog off mazima/
Ritz,Mzee,F.F nye mabalozi nyumba 10 daima/
Taimo kwa udaku nampa mawasiliano/
Ila Babu Asprin atashinda mawasiliano/
Bishanga na The Boss labda biashara/
ila wanaweza kututapeli mshahara/
The Finest fanya utafiti jangwa la sahara/
utapewa mambo ya nje bila madhara/
wizara nyingine zinapendwa na jamii/
wanawake na watoto nitampa AshaDii/
ila pia naona anafaa SteveDii/
Mamndenyi nahisi atapita kiusanii/
wengine hata mtoe maoni mi sisikii
Husninyo anagombea wizara ya madini/
yupo na Nyani Ng'abu,hatutaki umaskini/
King'asti anataka wizara ya utalii nataka maoni/
Aminata naona anafaa ila asilete udini/
Bujibuji atafaa vichekesho/
ila anashindana na Kongosho/
FirstLady1 subiri apatikane rais
hii kazi kuna majungu si rahisi/
wengi wana tamaa ya fisi/
sio nawaponda au kudiss/
sema kweli JF itapoteza ufanisi
kina wakusoma wakiwa wafuasi/
wakati hawajui kufuta makamasi/
Wizara ya michezo ni Afrodenz na lizzy/
ila kazi ipo mana anagombea sweetlady/
pamoja na black womani hakuna lazy/
Wizara ya elimu kuna Mkuu wa Chuo/
St.Ivunga bado sina msemo
pia anafaa Kiranga mana ana upeo/
ingawa kilimo si mchepuo/
leteni majina kama mna upeo/
Kibweka atakuwa mpiga picha wa rais/
Great Thinker atakuwa dj fanisi/
Smile na DaMie lazima mkawe wahandisi/
najua hampendi ila kuweni wafanisi/
Mambo ya nje Russian Roullete na Mwanakijiji/
ila kwa Filipo na Sijuii nini wapo kama wafa maji/
Bwana Msitu labda jamii01 ila ni mzembe/
heri flora msofe mpeni kura kabambe/
Mwali na Katavi kukaribisha wageni/
siyo kwamba nimewasahau ila samahani/
Eliza wa Tegeta ana nafasi mahakamani/
heri awe polisi,kuliko kukagua bandarini/
X-Paster kuwa askofu au rudi kwenye dini/
Preta wewe unafaa kuwa madini
uwe na swaiba wako dena amsi uchukuzi au hamna imani?
au umeamua kujiachia baa kula maini/
ukitaka kugombea sema,au leta malalamiko.
naibu wizara ya mapenzi nampa Pdidy
Shosti atakuwa msaidizi wa kibweka/
kule mambo ya wakubwa hakuna kucheka/
Kipipi mali ya asili na utalii/
Nitonye nimekuteua naibu fanya bidii/
Ukitaka udiwani,mwenyekiti wa kijiji,
we sema tu ila uwe na bomba za maji/
sijawasahau Jf bila nye haitanoga/
semeni mnataka cheo gani sijawamwaga/
napindua serikali,lazima nimchomeke Nguli/
atafaa wizara ya michezo sio kusaka mali/
igeni huu mfano mcheze dini halali/
ukipata wizara usicheze udali/
Gaijin atakuwa spika wa Bunge/
usiruhusu waje bungeni wanywa mbege/
 
Hahaha Excellent! Nikiwa president nakupeleka uhamishoni kabisa! Huwezi kuwa unatuchekesha hapa JF wakati wengine tuna machungu.

Nimeipenda analysis yako. Happy X-Mass n Prosperous New Year 2012.
 
wizara ya mapenzi na starehe zisizo na garama naomba unaibu wake
 
Naona kama kawaida yako ya kujianzishia thread na kujijibu mwenyewe.
 
yaani kuangalia kote umekosa nafasi yakunichomeka mimi swahiba wako nifikirie kumbuka tumesoma wote. Nitarudi baadae kidogo
 
ukiwa rahisi wewe lazima niwe mwanamke wa kwanza

Hahaha Excellent! Nikiwa president nakupeleka uhamishoni kabisa! Huwezi kuwa unatuchekesha hapa JF wakati wengine tuna machungu.

Nimeipenda analysis yako. Happy X-Mass n Prosperous New Year 2012.
 
Hahaha Excellent! Nikiwa president nakupeleka uhamishoni kabisa! Huwezi kuwa unatuchekesha hapa JF wakati wengine tuna machungu.

Nimeipenda analysis yako. Happy X-Mass n Prosperous New Year 2012.
ukinifanya kama Jenerali ulimwengu nakunywa sumu
 
hajachagua wakuu wa mikoa na mabalozi
hawezi kukusahau swaiba wake

afu si alikuwa anadesa kwako huyu?

yaani kuangalia kote umekosa nafasi yakunichomeka mimi swahiba wako nifikirie kumbuka tumesoma wote. Nitarudi baadae kidogo
 
Naona kama kawaida yako ya kujianzishia thread na kujijibu mwenyewe.
Huyu hana tofauti na Amwit25, ambaye kazi yake ni kubadili majina na kujipa Likes!

By the way Mleta mada ni creator mzuri wa personalities!...japo ameninyima japo U-Jairo!
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom