Kwanini wanandoa wa JF wanashambulia sana watu ambao hawajaoa?

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
44,588
188,805
Habari.

Kila Mmoja Anaendelea Na Majukumu Yake Ya Kila Siku Vyema.

Kama Swali Linavyojieleza Hivi Ni Kwanini Wanandoa Wa Jamiiforums Wanashambulia Watu Ambao Hawajaoa?

Kuna Nini Nyuma Ya Pazia Huko Maana Niliamini Aliyeoa Atapambana Na Familia Yake Ila Wamekuwa Wakicharuka Na Kushambua Vijana Ambao Hawajaoa Bila Kuwa Na Sababu Zinazoeleweka.

Wanandoa Fanyeni Kuwa Wawazi Kuna Nini Huko Mbona Makasiriko Yamekuwa Makubwa Sana Kwa Vijana Ambao Hawajaoa.

Wakati Vijana Wanaendelea Na Mambo Yao Binafsi Bila Kutupia Maneno Yeyote Kwa Wanandoa.

Ila Makasiriko Na Vijembe Vingi Vinatoka Kwa Wanandoa Kwenda Kwa Vijana Ambao Hawajaoa.

Vijana Ambao Hawajaoa Wanaanza Kuwa Na Mashaka Sasa Je Hizo Ndoa Zinawafanya Kuwa Namna Hiyo Na Kuanza Kuleta Makasiriko?

Au Kuna Mambo Hayajakaa Sawa Au Mmejichanganya Kufanya Hayo Maamuzi Au Mlikurupuka?

Ndoa Ni Jambo Jema Kabisa Na Takatifu Ambalo Linampemdeza Mungu Na Binadamu.

Ila Ndugu Zetu Kwanini Kila Kukicha Mnaleta Makasiriko Na Vijembe Kwa Vijana Ambao Hawajaoa?

Vijana Ambao Hawajaoa Wanabaki Kuwashangaa Na Kujiuliza Kuna Nini Huko Nyuma Ya Pazia.

Karibuni Wanandoa Mtupe Muongozo Wa Kwanini Mnashambulia Vijana Ambao Hawajaoa Bila Sababu Ya Msingi?

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu
 
Umefanya utafiti wa kutosha?
 
Eti Makasiriko yamekua makubwa hahahaha..
Sijui hata mtoa mada amepatwa nanini
 
Back
Top Bottom