Rais wa jf

siku ile nilikuambia niwe mfuta vumbi ukakataa
sasa mie ndo mwanamke wa kwanza utajibeba
sijui kama jina lak litakuwepo
ngoja tukalale sasa hivi ili nianze kukuharibia

Usihofu ju ya hilo, wewe unafaa kuwa mfuta vumbi la viatu vyangu.
 
wewe umashachaguliwa hair stailist wa mwanamke wa kwanza
hiyo inakutosha sana maana ntakuwa na hafla nyingi mno

excelent ambao nimeshawachagua maids wangu wasipangiwe kazi zingine

Excellent Wizara ya michezo inalipa kweli?
Labda nifanye biashara ya visa za dili.
 
Heeee! Shemeji shemeji. Asanteee! Mi staki kuwa na nyani ngabu lakini.
Shemeji we sema tu ila hiyo wizara ya madini ina hela na nimekupendelea,we unataka nimpeleka wizara gani huyo kiumbe
 
wewe umashachaguliwa hair stailist wa mwanamke wa kwanza
hiyo inakutosha sana maana ntakuwa na hafla nyingi mno

excelent ambao nimeshawachagua maids wangu wasipangiwe kazi zingine
bado kuna wakuu wa wilaya
 
wewe umashachaguliwa hair stailist wa mwanamke wa kwanza
hiyo inakutosha sana maana ntakuwa na hafla nyingi mno

excelent ambao nimeshawachagua maids wangu wasipangiwe kazi zingine

Unataka kuabika kwenye hafla?
Maana mawigi na weaving havitochoka kudondoka.Labda unifanye PERSONAL SHOPPER wako, hapo utafurahi mwenyewe.
 
hiyo nimempa RR

mbona afro yako haidondoki
ila usininunulie wigi la utajiju, silipendi

Unataka kuabika kwenye hafla?
Maana mawigi na weaving havitochoka kudondoka.Labda unifanye PERSONAL SHOPPER wako, hapo utafurahi mwenyewe.
 
mtakoma rejao keshaapishwa
na mie ndo mwanamke wa kwanza
zile kope ulizoninyima!
Jiandae kuwa raia wa afganistan
Waambie mapema kabisaa, wasije lalamika baadaye. Excellent naye naona anatumia nguvu kubwa sana kunimaliza..
 
huyu anaenda kuwa taster wa uranium kwa kulamba kule mkuju

we mwache tu, la sivyo afute yote ili apate nafasi nyingine

Waambie mapema kabisaa, wasije lalamika baadaye. Excellent naye naona anatumia nguvu kubwa sana kunimaliza..
 
Back
Top Bottom