benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,505
- 3,040
Vikao vya Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan, vitaketi siku ya tarehe 9, Julai, mwaka 2023, jijini Dodoma.
Vikao hivyo vya kawaida vya Uongozi wa Chama ngazi ya taifa, vitafanyika kwa mujibu wa Katiba ya CM ya Mwaka 1977, Toleo la 2023, vikitanguliwa na Kikao cha Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, itakayoketi Julai 8, mwaka huu 2023.